Mbowe anazizimisha Nzega

Kamanda wa Anga ni noumaaaa,ua kabisa hayo magamba yaliyozoea vya kunyonga
 
Hii nyimbo kali ina ukweli ndani yake.
Angewekwa na Afande hapo angeua sn.Remix awepo bwana.
 

kamanda unaweza weka kapicha kidogo maana wale waliotokwa na ufahamu kwa kunywa maji ya bendera ya kijani walisema chama kimekufa tangu 2013.
 
Go go go Kamanda~go chadema~go ukawa,hili ni pigo la mwisho linatakiwa liwe kali mbuyu uende chini.:clap2::clap2::clap2:
 
Wekeniii pichaaa zenuu za kuedit aaaaaaa CCM n baba yenuu
 
CDM ni nouma,magamba yanateketea vibaya yakiskia tu kamanda wa anga anatua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…