Kwa taarifa yako hata Mbowe akisema tushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi, kama Bado tume ya uchaguzi Inawajibika kwa rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm, hatutakuwa na huo muda mchafu. Kama vipi anzisha chama kikashiriki huo uhayawani uitwao uchaguzi.Yani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana. Yani hawatofautiani na mwanamke mkorofi ambapo hutulia bwana anapokosa hela na huanzisha vurugu bwana anapopata hela. Hivi zile amshaamsha za miaka mitano tangu 2015 hasi 2020 Kama wangezifanya sasa hadi kufikia hiyo 2025 si wangekua washajizolea urais. Mi nadhani mbowe mwenyewe achunguzwe huwenda ni pandikizi la CCM maana haiwezekani nyakati za tonge anaanza zengwe mara atimue zitto, mara amwite lowasa, mara atimue slaa, mara lipumba, yani yy nyakati za kuungana ndo anaanza vibweka. Haya badala sasa hivi kuamsha moto Kama wa 2015 na 2020 yy yuko kimyaaaaaa Kama chungu cha bibi, huwenda huyu jamaa ananufaika na kushindwa kwa CHADEMA. Na msipo angalia yaani msipo angalia 2025 anaweza kuwaambia msusie uchaguzi kisa katiba mpya na mlivyo mabox mtasema kamanda amesema. Najua CHADEMA mtanitupia mawe maana huyo jamaa kawapiga na kimbola cha kilindi cha bahari.
Kumbe mgeni 🐼Ya nini kwani hapa nakufundisha kuandika. We ka huelewi kalale
Yani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana. Yani hawatofautiani na mwanamke mkorofi ambapo hutulia bwana anapokosa hela na huanzisha vurugu bwana anapopata hela. Hivi zile amshaamsha za miaka mitano tangu 2015 hasi 2020 Kama wangezifanya sasa hadi kufikia hiyo 2025 si wangekua washajizolea urais. Mi nadhani mbowe mwenyewe achunguzwe huwenda ni pandikizi la CCM maana haiwezekani nyakati za tonge anaanza zengwe mara atimue zitto, mara amwite lowasa, mara atimue slaa, mara lipumba, yani yy nyakati za kuungana ndo anaanza vibweka. Haya badala sasa hivi kuamsha moto Kama wa 2015 na 2020 yy yuko kimyaaaaaa Kama chungu cha bibi, huwenda huyu jamaa ananufaika na kushindwa kwa CHADEMA. Na msipo angalia yaani msipo angalia 2025 anaweza kuwaambia msusie uchaguzi kisa katiba mpya na mlivyo mabox mtasema kamanda amesema. Najua CHADEMA mtanitupia mawe maana huyo jamaa kawapiga na kimbola cha kilindi cha bahari.
mbona ameeleweka, mbowe ni km pandikizi haeleweki kweliUkiweka paragraph utaeleweka kiwepesi 😀
Anza na mamako kumchunguza nyumban kwenu ukimaliza uende kumchunguza mamayenu samia zile hafla za kizimkazi na royal tour.Yani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana. Yani hawatofautiani na mwanamke mkorofi ambapo hutulia bwana anapokosa hela na huanzisha vurugu bwana anapopata hela. Hivi zile amshaamsha za miaka mitano tangu 2015 hasi 2020 Kama wangezifanya sasa hadi kufikia hiyo 2025 si wangekua washajizolea urais. Mi nadhani mbowe mwenyewe achunguzwe huwenda ni pandikizi la CCM maana haiwezekani nyakati za tonge anaanza zengwe mara atimue zitto, mara amwite lowasa, mara atimue slaa, mara lipumba, yani yy nyakati za kuungana ndo anaanza vibweka. Haya badala sasa hivi kuamsha moto Kama wa 2015 na 2020 yy yuko kimyaaaaaa Kama chungu cha bibi, huwenda huyu jamaa ananufaika na kushindwa kwa CHADEMA. Na msipo angalia yaani msipo angalia 2025 anaweza kuwaambia msusie uchaguzi kisa katiba mpya na mlivyo mabox mtasema kamanda amesema. Najua CHADEMA mtanitupia mawe maana huyo jamaa kawapiga na kimbola cha kilindi cha bahari.
Pandikizi linazuwiwa kufanya siasa akili matope.mbona ameeleweka, mbowe ni km pandikizi haeleweki kweli
Umesema yote. Ukweli mchunguYani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana. Yani hawatofautiani na mwanamke mkorofi ambapo hutulia bwana anapokosa hela na huanzisha vurugu bwana anapopata hela. Hivi zile amshaamsha za miaka mitano tangu 2015 hasi 2020 Kama wangezifanya sasa hadi kufikia hiyo 2025 si wangekua washajizolea urais. Mi nadhani mbowe mwenyewe achunguzwe huwenda ni pandikizi la CCM maana haiwezekani nyakati za tonge anaanza zengwe mara atimue zitto, mara amwite lowasa, mara atimue slaa, mara lipumba, yani yy nyakati za kuungana ndo anaanza vibweka. Haya badala sasa hivi kuamsha moto Kama wa 2015 na 2020 yy yuko kimyaaaaaa Kama chungu cha bibi, huwenda huyu jamaa ananufaika na kushindwa kwa CHADEMA. Na msipo angalia yaani msipo angalia 2025 anaweza kuwaambia msusie uchaguzi kisa katiba mpya na mlivyo mabox mtasema kamanda amesema. Najua CHADEMA mtanitupia mawe maana huyo jamaa kawapiga na kimbola cha kilindi cha bahari.
Hapa bilionea Erythrocyte hatakuelewana mlivyo mabox
Msinihusishe kwenye masuala yenuHapa bilionea Erythrocyte hatakuelewa
Mimi naona pandikizi ni lissu kila muda anakimbilia ubelgiji wakati wa matatizo!Yani CHADEMA sijui wanalogagwa na nani, yaani wakati wa kufanya mapambano ili kushinda uchaguzi unakuta wametulia na wakati wa kutulia ili kuunga gurudumu la maendeleo unakuta wanapambana. Yani hawatofautiani na mwanamke mkorofi ambapo hutulia bwana anapokosa hela na huanzisha vurugu bwana anapopata hela. Hivi zile amshaamsha za miaka mitano tangu 2015 hasi 2020 Kama wangezifanya sasa hadi kufikia hiyo 2025 si wangekua washajizolea urais. Mi nadhani mbowe mwenyewe achunguzwe huwenda ni pandikizi la CCM maana haiwezekani nyakati za tonge anaanza zengwe mara atimue zitto, mara amwite lowasa, mara atimue slaa, mara lipumba, yani yy nyakati za kuungana ndo anaanza vibweka. Haya badala sasa hivi kuamsha moto Kama wa 2015 na 2020 yy yuko kimyaaaaaa Kama chungu cha bibi, huwenda huyu jamaa ananufaika na kushindwa kwa CHADEMA. Na msipo angalia yaani msipo angalia 2025 anaweza kuwaambia msusie uchaguzi kisa katiba mpya na mlivyo mabox mtasema kamanda amesema. Najua CHADEMA mtanitupia mawe maana huyo jamaa kawapiga na kimbola cha kilindi cha bahari.
Bibi wa kizimkazi naye mbona safari za Dubai na Muscat hazikatiki au na yeye ni pandikizi la waarabu ?Mimi naona pandikizi ni lissu kila muda anakimbilia ubelgiji wakati wa matatizo!