Mbona walikua kimya kwenye suala la mahakama ya kadhi

darasa

Member
Sep 28, 2011
7
4
Inashangza kuona chama cha magamba kilipodanganya juu ya uanzishwaji wa mahakama ya kadhi na mwezi uliopita serikali imesema kuwa mahakama ya kadhi haitaanzishwa na serikali,,hao wanaojiita viongozi wa dini na wanazuoni walikua wamekaa kimya..lwala hawakusema kua tusikipigie kura chama cha magamba..lakini lilipokuja suala la kuvuliwa hijabu ndo wameamka na kusema kuwa hawa CDM wametudhalilisha..mbona wakati wa kudanganywa juu ya mahakama ya kadhi mlikua kimyaa,,,inashangaza
 
halafu kuna akina dada kibao wa ccm wanao utukanisha uislama kila siku lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa kama yule wa tot, auntie ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…