Kwa maelezo yako Mkuu, inaonyesha kama huishi TZ au si mfuatiliaji wa mambo yalivyo nchini mwetu. Kwa taarifa yako Balozi Iddi ni mbunge wa kuchaguliwa wa jimbo la Kitope katika nchi ya ZNZ. Vile vile ni mwakilishi wa kuteuliwa na Rais wa ZNZ, kwa maana hiyo anaweza kuingia katika BLW na Bunge la Muungano at a same time. Upo hapo!!! Kapitoo?