lastfadh Member Joined Jul 26, 2013 Posts 26 Reaction score 2 Apr 1, 2014 #1 wadau mbona sioni bunge likioneshwa kupitia tv yoyote au linaendelea kwa siri?
C CHAZA JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 8,311 Reaction score 5,735 Apr 1, 2014 #2 lastfadh said: wadau mbona sioni bunge likioneshwa kupitia tv yoyote au linaendelea kwa siri? Click to expand... Si waliwadanganya kuwa wanataka kura za wazi ili wanaoitwa WANANCHI WALIOTUTUMA watuone! Je munawaona enyi Wananchi muitwao muliowatuma? Au wamejifungia kila mmoja ndani ya kamati? Ule Uwazi uko wapi?!
lastfadh said: wadau mbona sioni bunge likioneshwa kupitia tv yoyote au linaendelea kwa siri? Click to expand... Si waliwadanganya kuwa wanataka kura za wazi ili wanaoitwa WANANCHI WALIOTUTUMA watuone! Je munawaona enyi Wananchi muitwao muliowatuma? Au wamejifungia kila mmoja ndani ya kamati? Ule Uwazi uko wapi?!
Chabruma JF-Expert Member Joined Sep 19, 2013 Posts 5,660 Reaction score 1,782 Apr 1, 2014 #3 lastfadh said: wadau mbona sioni bunge likioneshwa kupitia tv yoyote au linaendelea kwa siri? Click to expand... Mkuu, kwa sasa mijadala inawndelea kwenyemzile kamati 12. Mjadala bungeni utaanza siku ya Ijumaa.
lastfadh said: wadau mbona sioni bunge likioneshwa kupitia tv yoyote au linaendelea kwa siri? Click to expand... Mkuu, kwa sasa mijadala inawndelea kwenyemzile kamati 12. Mjadala bungeni utaanza siku ya Ijumaa.
msani JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 1,800 Reaction score 1,195 Apr 1, 2014 #4 Tulieni tuwaandalie katiba,huu ndio uwazi mnaotaka
lastfadh Member Joined Jul 26, 2013 Posts 26 Reaction score 2 Apr 1, 2014 Thread starter #5 Shukran mkuu manake nilikuwa nimechanganyikiwa kila siku nafuatilia sioni chochote
lastfadh Member Joined Jul 26, 2013 Posts 26 Reaction score 2 Apr 1, 2014 Thread starter #6 Chabruma said: Mkuu, kwa sasa mijadala inawndelea kwenyemzile kamati 12. Mjadala bungeni utaanza siku ya Ijumaa. Click to expand... Shukran mkuu manake nilikuwa nshachanganyikiwa
Chabruma said: Mkuu, kwa sasa mijadala inawndelea kwenyemzile kamati 12. Mjadala bungeni utaanza siku ya Ijumaa. Click to expand... Shukran mkuu manake nilikuwa nshachanganyikiwa