MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,152
- 3,967
Alichofanya Putin ni kichekesho kwa kweli Yale majimbo Hana umiliki wa asilimia 100Huyu Putin naye sijui Akili zake zimehama au vipi?
Unatangazaje kuyajumuisha majimbo ambayo hauyadhibiti kijeshi kwa 100%. Mpaka Sasa Urusi imeshindwa kuyateka kijeshi kwa 100% majimbo ya Donbas(Luhansk na Dotnesk). Huko Dotnesk Urusi inamiliki 58% ya Jimbo lote na 80% ya Jimbo la Luhansk.
Miji Mkuu wa Zaporhzhzia na Dotnesk (Kramatosk) bado inadhibitiwa na Majeshi ya Ukraine. Mji mkuu wa Jimbo la Luhansk wa Lysychansk na Severodotnesk ndio inadhibitiwa na Urusi TU. Kwanini Putin ameshindwa kusubili Majeshi Yake yateke eneo lote la majimbo hayo Manne?
Maoni yangu
Baada ya ile CounterOffensive ya Majeshi ya Ukraine kuyafurusha Majeshi ya Urusi kwenye Jimbo la Kharkiv,Basi Putin ameona Bora ajitangazie Ushindi Kabla Mambo hayajawa magumu kwa upande wake. Sasa Urusi inataka kutishia Nyuklia Endapo Ukraine itaendelea na CounterOffensive kwenye hayo majimbo.
Kama huu mkwala wa Putin utawaingia Marekani na kuogopa kuipa Silaha Ukraine Basi huu utakuwa Ushindi kwa Putin. Ngoja tusubiri tuone.
NATO wanasema hawawezi kukaa kuogopa threat za Nuclear wataisupport Ukraine na hawatambui hiyo annexationHuyu Putin naye sijui Akili zake zimehama au vipi?
Unatangazaje kuyajumuisha majimbo ambayo hauyadhibiti kijeshi kwa 100%. Mpaka Sasa Urusi imeshindwa kuyateka kijeshi kwa 100% majimbo ya Donbas(Luhansk na Dotnesk). Huko Dotnesk Urusi inamiliki 58% ya Jimbo lote na 80% ya Jimbo la Luhansk.
Miji Mkuu wa Zaporhzhzia na Dotnesk (Kramatosk) bado inadhibitiwa na Majeshi ya Ukraine. Mji mkuu wa Jimbo la Luhansk wa Lysychansk na Severodotnesk ndio inadhibitiwa na Urusi TU. Kwanini Putin ameshindwa kusubili Majeshi Yake yateke eneo lote la majimbo hayo Manne?
Maoni yangu
Baada ya ile CounterOffensive ya Majeshi ya Ukraine kuyafurusha Majeshi ya Urusi kwenye Jimbo la Kharkiv,Basi Putin ameona Bora ajitangazie Ushindi Kabla Mambo hayajawa magumu kwa upande wake. Sasa Urusi inataka kutishia Nyuklia Endapo Ukraine itaendelea na CounterOffensive kwenye hayo majimbo.
Kama huu mkwala wa Putin utawaingia Marekani na kuogopa kuipa Silaha Ukraine Basi huu utakuwa Ushindi kwa Putin. Ngoja tusubiri tuone.
Kwa hiyo Urusi anapigana na NATO? Kama ni hivyo urusi si mchezo aiseee.. yani anapigana na mataifa 30 at once!!NATO wanasema hawawezi kukaa kuogopa threat za Nuclear wataisupport Ukraine na hawatambui hiyo annexation
Sisi wavaa KOBAZI tunashangilia ushindiKwa hiyo Urusi anapigana na NATO? Kama ni hivyo urusi si mchezo aiseee.. yani anapigana na mataifa 30 at once!!
Uringo!!!???Kwahiyo kwa Akili zako unaweza kujitangazia Ushindi kwenye Uringo ambao mpinzani wako bado anarusha Makonde mazito kuelekea kwako? Au unasubiri kwanza mpaka atepete ndio uonekane mshindi?
Mpaka Sasa Majeshi ya Ukraine yameuzingira mji wa Lyman na zaidi ya Wanajeshi 2,000 wa Urusi wamezingirwa.
Umemaliza kila kituKaona anashindwa na anaanza yapoteza hayo majimbo kadili muda unavyoenda
Sababu Urusi ni taifa linaloongozwa kwa propaganda kwahiyo anawaaminisha majimbo wameyachukua raia wake katika fantasy journey yake ili yakirudi awalaumu Warusi kushindwa yalinda na sio yeye
Mkuu hapa sasa umeeleweka lakini kule kwenye uzi mama unasema Ukraine waachie hayo majimbo kuokoa wanajeshi wao kwakuwa watu wa maeneo hayo wanashangilia kuwa sehemu ya Russia,lakini unasahau pengine wanashangilia kwa uwoga ili wasionekane wasumbufu kwa 'utawala mpya chini ya Russia' au wanaoshangilia ni sehemu ndogo tu ya watu wote.Hapa Urusi katumia ile technique ya utotoni ya kuvua shati na kuchora mstari chini huku ukimwambia mpinzani wako vuka hapa uone.
Acha ujingaNaona mmefungua ka uzi ka kujifariji huku....Majimbo yameenda yale..then Ant..Terrorist operation itatangazwa...
Zelensky mjinga sana angetumia busara tu...haya ya kutunishiana misuli na nchi ambayo miaka mingi imezoea misukosuko kutoka WEST ni kujisumbua tu
Wanatoa vifaa wakishuka kwa speed ambayo warusi wameionesha ya kukimbia vita kama NATO wangeingia huenda hata Vlad angekuwa anajificha kwenye mabarafu huko.Kwa hiyo Urusi anapigana na NATO? Kama ni hivyo urusi si mchezo aiseee.. yani anapigana na mataifa 30 at once!!