Mbona hizi dini zinachanganya?

PAPA Francis anapigania maisha huko ICU yaani hataki kwenda mbinguni [emoji1787]

Izi DINI sometime zinachanganya sana sasa papa hataki kwenda mbinguni nani anataka? kama papa hataki?...

Kwaresma NJEMA.
tunajizuia kufa kwa mambo mengi tu, sio kwa kutibiwa ugonjwa tu! Tuna kula chakula salama ili tusife, tunakunywa maji ili tusife, tunaishi mahala palipo jikinga na salama ili tusife, tuna vuka barabara kwa ungalifu ili tusife. Kuua ni dhambi hata kama utajiua mwenyewe.
 
Mkuu,

Kuna tofauti kati ya kujizuia kufa na kupigania maisha.

Papa anapigania maisha, hajizuii kufa tu.
 
Kiranga hata Kama hana bando yupo tayari kukopa ili achangie mada ya kupinga uwepo wa Mungu
Sijawahi kutumia internet ya bando mkuu. Labda nikija likizo Tanzania ambako nako nina option ya mitandao ya Kimarekani.

Mimi natumia unlimited internet. Halafu nina unlimited internet nyingine ya WiFi.

Bando hata mnavyoweka sijui.
 
Umeeleza vyema sana
 
Unaanza kuupambania uhai wako kila siku; chakula unachokula kila siku ,usalama na ulinzi dhidi ya maadui , kutunza afya ...Hivyo vyote ni katika mafundisho ya dini .
Kama ingekuwa rahisi kama mawazo yako basi dini zimgeruhusu watu kujiua.
 
Nimeisoma hiyo makala.

Nimelipenda jibu la Papa Francis.

Ma-genius ndiyo watalielewa vizuri jibu hilo.
 
Nimeisoma hiyo makala.

Nimelipenda jibu la Papa Francis.

Ma-genius ndiyo watalielewa vizuri hilo.
Umesoma link ya CNN au hiyo ya Wakatoliki?

Hilo si jibu.

Hizo ni danadana za kisiasa tu.
 
Sasa mbona Papa ni Shark na Pope ni Papa!!?πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Tuendelee kutamba na hizi pumzi tulizochukua mkopo tena mkopo wenyewe kausha damu ile ya mtu hulali kama hujarejesha rejesho.

Ukiwa mzima huumwi hata ukucha mkononi umeshikilia device yako charge 70% bundle la kutosha mfukoni una cent mbili tatu za kubadili mboga huku kichwani ukihisi una akili za kutosha aah mbona wewe mwanaume!,ikiwa sijui second tano mbele nini kitanitokea nina nidhamu mno na kinywa na vidole vyangu hasa wakati huu teknolojia illvyoenea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…