Dingswayo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 4,019 Reaction score 2,932 Aug 12, 2009 #1 Soma hii katika Michuzi
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,185 Reaction score 12,995 Aug 12, 2009 #2 Miongoni mwa sababu kubwa kwa nini watu wanapomaliza masomo nje ya nchi hutamani kuendelea tu kusoma ilimradi wasirudi nyumbani manake kuna maswaiba ya kila namna.. Pole zangu kwa wahusika wote. Mungu Ibariki Tanzania.
Miongoni mwa sababu kubwa kwa nini watu wanapomaliza masomo nje ya nchi hutamani kuendelea tu kusoma ilimradi wasirudi nyumbani manake kuna maswaiba ya kila namna.. Pole zangu kwa wahusika wote. Mungu Ibariki Tanzania.
M MzalendoHalisi JF-Expert Member Joined Jun 24, 2007 Posts 4,710 Reaction score 1,660 Aug 12, 2009 #3 Pole sana! Isolated incident! Bongo poa tu na amani kama nini! N aukiwa na aelimu na kazi yako nzuri..maisha rahisi sana! Majambazi yapo tu kote duniani..ni wasughulikiwe tu popote walipo!
Pole sana! Isolated incident! Bongo poa tu na amani kama nini! N aukiwa na aelimu na kazi yako nzuri..maisha rahisi sana! Majambazi yapo tu kote duniani..ni wasughulikiwe tu popote walipo!
Bluray JF-Expert Member Joined Mar 25, 2008 Posts 3,449 Reaction score 138 Aug 12, 2009 #4 Halafu washashi wakikata aka bila kiguu mnawamind.