Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Mwenge unamaana kubwa Sana
Wanafunzi wa Shule mbalimbali kwenye Manispa ya Arusha mjini wametolewa kwenye vipindi vyao vya masomo kuja kushanga mwenge jee ndio kuwafundisha au kuwateketeza kielimu? Na imefuatiwa nakukosa watu kwenye mbio za mwenge jijini Arusha
Mwenge unamaana kubwa Sana[
Una maana gani zaidi ya kusumbua watu?
Mwenge unamaana kubwa Sana
Suala la wanafunzi kwenda kwenye mwenge haliaanza leo, toka miaka ya themanini/tisini lilikuwepo na wanafunzi walifaulu, na waliofeli walifeli. Kwenda kwenye mwenge siku moja hakuwezi kukufanya ufeli au uteketee kielimu. Kama ni kilaza ni kilaza tu au kama shule husika haitoi elimu bora basi mwenge hauwezi kuwa kisingizio.
Huu ni upuuzi mkubwa sana. Ratiba ya mbio za wenge ilifahamika tangu April, hivyo kutoa fursa kubwa sana kwa watendaji wote kujipanga na kuwahamasisha wananchi wajitokeze. Ujumbe wa mwenge unawalenga watu wazima, kama hawajitokezi, hao watoto wataambiwa nini ambacho watakifanyia kazi?Suala la wanafunzi kwenda kwenye mwenge haliaanza leo, toka miaka ya themanini/tisini lilikuwepo na wanafunzi walifaulu, na waliofeli walifeli. Kwenda kwenye mwenge siku moja hakuwezi kukufanya ufeli au uteketee kielimu. Kama ni kilaza ni kilaza tu au kama shule husika haitoi elimu bora basi mwenge hauwezi kuwa kisingizio.
Tena mwenge zamani wanafunzi tulikua tunachangia,bora hao wameenda bure.Hakuna uhusiano wa kuteketea kwa elimu na Mwenge.Km mwanao au mdogo wako nikilaza waache hao wengine waende wakapokee mwenge.
Akili za ki.ji.nga tu km mleta uzi watakao husisha mwenge na kushuka elimu.