Ya kwako unayotumia kila siku then umesahau password how this happen at all. Itakuwa ya wizi nyoosha maelezo wataalamu wengi humu watakusaidia.Habari WanaJF
kuna hizi simu ndogo za button kama za nokia..Samsung na zinginezo!
Hizi simu mara nyingi huleta tatizo la code hasa pale unaposahau code kama ujuzi ni mdogo kama wangu inasumbua sana!
Leo kuna samsung yangu ndogo Model GT-1200R
Nimesahau Password yake.. sasa wajuzi nisaidieni napataje lock code yake!
Tupeane mbinu na hata kama ni kuflash hizi simu ndogo huwa zinaflashiwa vipi?
Nimepiga picha yenyewe hii Hapa! kama inavyoonesha inadai PHONE LOCK!
Tusaidiane!
Ok codes za samsung za button zinafanya kazi kama simu inafika kwenye keypad. Lasivyo hazitafanya kazi.Haiwezi Mkuu
Hard reset/factory reset by command prompt!Hemu Google mkuu""" namimi kinokia changu kilijilock ila niliingia youtube nkaona jinsi wanavyofanya reset kupitia codes hatimaye nikafanikiwa
Nimesoma vzr sana na nimeelewa.Soma vizuri