Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,092
- 285,749
mnajitahidi sana kumchafua lakini hachafuki. ameshindwa lowasa pale na pesa zake na sumu zake mtaweza nyie wahuni tu?
Leo mnyika amehutubia walevi pale mataa ya ubungo, watu wenye akili timamu wamempuuza. Heri mwakyembe anayegawa pkpk km njugu
RIP SSM wewe unachuki na CCM na hasa Mwakyembe, km hammtaki acheni ataenda Jimbo lolote na ata[pita tu, hakuna mjinga atakayempinga kwani Bajeti hapangi yeye ni Wabunge wote hata wa Vyama vya upinzani
Inawezekana Mwakyembe naye hajui majukumu yake.....Kusema mbunge ndie mwenye jukumu la kujenga barabara ni kutojua majukumu ya mbunge
Inawezekana Mwakyembe naye hajui majukumu yake.....
hana shida ya ubunge huyo, anataka agombee uraisi, ndo maana hana tym