Mbingu haina mwenyewe.

Francis Dhuo

Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
87
Reaction score
13
Mungu anajua tulikotoka,tulipo na tuendapo...kwa maana hiyo anawajua wale waooote ambao wataurithi na wale ambao hawataurithi ufalme wake siku ya mwisho,,,wale wamchao na wasio mcha yeye hakuna haswa ambaye anauwezekano wa kuingia mbinguni kwa maana hiyo tundende mabaya mazuri haijalishi..
USHAHIDI:-YUDA mwanafunzi wake YESU baada ya safari ndeeefu na YESU mwisho wa siku tunaona anamsaliti YESU.
-Msalabani YESU alisulubiwa na waarifu wawili ambapo kati ya hao baada kutenda dhambi kwa muda mrefu tunaona mwisho wa siku anaahidiwa na YESU kuwa pamoja katika mkono wa KUUME wa MUNGU BABA MWENYE ENZI.
USHAURI:Tuishi maisha ya kawaida tu...tusi-COMPLICATE kama tupo katika list tupo tu...kama hatupo ndo hivo..MUNGU ahongeki..!!!!
 
Hiyo kama kumbukumbu zangu zipo vizuri inaitwa Calvinism.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…