Na ndio maana wanalazimisha tusifie ndege kununuliwa kwa cash, huku bei yake ikiwa ni mara 1.5 ya bei asilia! Jenga miundo mbinu kwa hela za mikopo ili cash irudi kwa wananchi! Ila watatusikia?!Sasa wakimaliza kila kitu kesho wale wapi?
Africa ni magumashi tu kwa wataalam wetu
Mkoloni alijenga masoko na wauzaji walikuwa 10 tu lakini soko linaweza kubeba watu 500 na mpaka leo masoko mengine ndio yamejaa baada ya miaka 50
( baadhi ya wilaya)
Ni shidaNa ndio maana wanalazimisha tusifie ndege kununuliwa kwa cash, huku bei yake ikiwa ni mara 1.5 ya bei asilia! Jengo miundo mbinu kwa hela za mikopo ili cash irudi kwa wananchi! Ila watatusikia?!
Hivi kila mtu anayekosoa au kushauri kitu ni ufipa? Mna akili gani nyie misukule ya lumumba.. Kwamba watanzania hawawezi kushauri lolote tena katika ujenzi wa nchi hii bila kua chadema? Mambo ya kipumbavu kabisa, hivi tumefikaje hapa?Majitu ya ufipa kazi yao ni kupinga tu... kama hiyo flyover hamuitaki msiitumie ikishakamilika
Vipi mwenyekiti keshakupa ile poshoHivi kila mtu anayekosoa au kushauri kitu ni ufipa? Mna akili gani nyie misukule ya lumumba.. Kwamba watanzania hawawezi kushauri lolote tena katika ujenzi wa nchi hii bila kua chadema? Mambo ya kipumbavu kabisa, hivi tumefikaje hapa?
Wasitumie ata kwenye vipeperushi vyao vya sera mbadala.. Naona wameahaanza kuitilumia mfugale wakati waliipingaMajitu ya ufipa kazi yao ni kupinga tu... kama hiyo flyover hamuitaki msiitumie ikishakamilika
Maufipa yanaweweseka[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wasitumie ata kwenye vipeperushi vyao vya sera mbadala.. Naona wameahaanza kuitilumia mfugale wakati waliipinga
Sio kila anayeshauri ni mnufaika wa siasa hebu jaribh kukosoa kitaalamu kama yeye alovyoandika.Vipi mwenyekiti keshakupa ile posho
Walisema wanachi hawahitaji flyover kisa watu hawatakula flyoverSio kila anayeshauri ni mnufaika wa siasa hebu jaribh kukosoa kitaalamu kama yeye alovyoandika.
Kwani mleta mada ni bavicha?Walisema wanachi hawahitaji flyover kisa watu hawatakula flyover
Ilipokuwa inajengwa wakabeza eti haina viwango pia sio juhudi za raisi wa sasa bali ni za aliyepita
Ilipokamilika wanaanza kuponda kuwa ile sio flyover
Sasa inajengwa nyingine wameanza kubeza
Ufipa hawawezi kushauri kitu kikaeleweka kwakuwa hawana la maana nchi hii waache serikali ifanye kazi
From ufipa nationKwani mleta mada ni bavicha?