KIGHERA Member Nov 19, 2010 84 27 Jun 5, 2017 #1 Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo ila awe mbeya maana na mm niko mbeya,asiwe mlevi pls. Mi ni mwanaume nna miaka 39, kama uko interested ni pm pls, kama haikuhusu we pita kimyakimya.
Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo ila awe mbeya maana na mm niko mbeya,asiwe mlevi pls. Mi ni mwanaume nna miaka 39, kama uko interested ni pm pls, kama haikuhusu we pita kimyakimya.
D Dundo_Boy JF-Expert Member Dec 29, 2015 2,458 2,464 Jun 5, 2017 #2 Naona mpo rikizo, mmeanza kusumbua
gwa myetu JF-Expert Member Aug 18, 2014 4,413 4,589 Jul 8, 2017 #5 Hebu nenda hapo Mbeya cannivor acha kutuchosha
Kapyungu A JF-Expert Member Jul 8, 2015 3,500 3,157 Jul 8, 2017 #7 gwa myetu said: Hebu nenda hapo Mbeya cannivor acha kutuchosha Click to expand... Anataka kuchonga mzinga kabisa. Hataki kuloweka loweka
gwa myetu said: Hebu nenda hapo Mbeya cannivor acha kutuchosha Click to expand... Anataka kuchonga mzinga kabisa. Hataki kuloweka loweka
L lufuo Member Feb 21, 2015 97 34 Jul 9, 2017 #8 gwa myetu said: Hebu nenda hapo Mbeya cannivor acha kutuchosha Click to expand... Yawezekana si mlevi mbeya carnival hapatamfaaa au unataka akabadilishane mawazo na wale madada poa. Hahaaaa
gwa myetu said: Hebu nenda hapo Mbeya cannivor acha kutuchosha Click to expand... Yawezekana si mlevi mbeya carnival hapatamfaaa au unataka akabadilishane mawazo na wale madada poa. Hahaaaa