Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,941
- 51,067
Zaidi ya kuwasilisha malalamiko kwenye bodi ya michezo ya kubahatisha mkamaria afanye nini tena!?Kutapeliwa na kampuni ya kubeti ambayo imesajiliwa nchini ni uzembe wa mbetiji..ukifuatilia wanakulipa vizuri tu
Hakikisha unasoma vigezo na masharti kabla ya kujiunga. Pia wasiliana na huduma kwa watejaZaidi ya kuwasilisha malalamiko kwenye bodi ya michezo ya kubahatisha mkamaria afanye nini tena!?
Hilo nafahamuUbadilishwe kwasababu gani? Wakati kwenye betting mmiliki Kushinda Ni 85% wewe Kushinda Ni 15% Yani betting akiliwa milioni 15 ujue yeye kala 85M kwa taarifa yako Ni hivi ulishinda mkeka Tena hela kubwa kampuni inafurahia maana nisehemu ya kujitangaza kibiashara😂
Kafanya yote hayo. Mpaka kaenda bodi ya michezo ya kubahatisha ujue kapitia mambo mengi.Hakikisha unasoma vigezo na masharti kabla ya kujiunga. Pia wasiliana na huduma kwa wateja
Ukute alibeti fixed game hapo hatalipwa hata 100😄Kafanya yote hayo. Mpaka kaenda bodi ya michezo ya kubahatisha ujue kapitia mambo mengi.
Mimi nitajuaje kama ni fixed?Ukute alibeti fixed game hapo hatalipwa hata 100😄
Haki ya mtu haijalishi kiasi mkuu21,000 ndio useme wamefilisika.? Wapigie simu
Huwa zinasambaa mtandaoni Mara moja moja. Kampuni iki notis hawalipi hiyo gem,,Mimi nitajuaje kama ni fixed?
Ndio, awasiliane nao kwanza asipopata majibu ya kuridhisha achukue hatua. Ila kusema wamefilisika sababu hajalipwa 21k si sawa.Haki ya mtu haijalishi kiasi mkuu
Huo ni uhuni,kila mtu hupata hiyo fixed?..kea nini wao wasiitoe?Huwa zinasambaa mtandaoni Mara moja moja. Kampuni iki notis hawalipi hiyo gem,,
Hamna kitu kama hicho hao m bet ni matapeli tu hamna Cha fixed mechi Wala niniHuwa zinasambaa mtandaoni Mara moja moja. Kampuni iki notis hawalipi hiyo gem,,
Ushaingia dathlam bro tulia🤣Nimekula mkeka toka juzi lakini wameshindwa kunilipa. Na kibaya zaid mkeka ulikuwa unasoma pending payment, na Jana mida ya mchana ticket ikasoma payed winner, na kwa uhalisia hawajanilipa nimewapigia kwenye simu wanasema kuna shida ya mfumo. Nal eo ndio hawapokei kabisa.
Hakuna kampuni inayolipa fixed game mkuu, huo Ni upangaji wa matokeo , system zikidetect nikosa kisheriaHuo ni uhuni,kila mtu hupata hiyo fixed?..kea nini wao wasiitoe?
Hata wangekuwa katapeli bado hauna Cha kutapeliwa na betting company. Unajua Capital Yao au unafanya mchezo. Betting company Zina mtaji mrefu na wapo makini katika shughuli zao. Unajua jero yako inaweza kuwasababishia kufutiwa leseni? Sasa Kwanini wakubali kufutiwa leseni ya mamilion kwasababu ya 500? lazima kunasehem ulizingua au kunatatizo la mtandaoHamna kitu kama hicho hao m bet ni matapeli tu hamna Cha fixed mechi Wala nini
Wewe itakua chawa wa hiyo kampuni ya kimasikini ya m betHata wangekuwa katapeli bado hauna Cha kutapeliwa na betting company. Unajua Capital Yao au unafanya mchezo. Betting company Zina mtaji mrefu na wapo makini katika shughuli zao. Unajua jero yako inaweza kuwasababishia kufutiwa leseni? Sasa Kwanini wakubali kufutiwa leseni ya mamilion kwasababu ya 500? lazima kunasehem ulizingua au kunatatizo la mtandao
Huo ni uhuni,kila mtu hupata hiyo fixed?..kea nini wao wasiitoe?
Aloo kumbe betting ni ajira rasmi hadi watu wa karibu na wewe mchambuzi wa mambo ya kijamii wana bet tukaze buti tuweke mikekaKuna jamaa yangu alishinda kama 3,000,000 hajalipwa mpaka leo na mkeka wenyewe wameshaufuta.