Mbeleko za Savana fiber Kawe area

Mbeleko za Savana fiber Kawe area

Annonymous

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
727
Reaction score
1,210
Oya wanangu eeeee, eeeeeee
Wanangu eeeee, eeeeeee
Faiba imefika, imefika imepita
Kawe kwa makipa, makipa na mawinga
Kampuni ya mchina, mchina wa kiha
Sasa atalia, siye kwenda savanna

Fiber mpya imepita kawe, ni savanna mida sio mrefu ttcl wataniomba mbaya. Wanaringa hawa viumbe utafkr dunia yao na wao ndio internet..

Hawa kama chama tawala ni vijipu, walau hela ziende kenya kwa kupitia savanna
 
Hawa jamaa wapo vizuri sana kwanza vifurushi vyao sio bei sana
20250826_180032.jpg
 
Back
Top Bottom