Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Jun 25, 2016 #2 Mpaka tufikie hiyo tambarare sijui tutakuwa wangapi, kufa hatufi lakini cha moto tunakiona.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,707 Reaction score 109,245 Jun 25, 2016 #3 Sky Eclat said: Mpaka tufikie hiyo tambarare sijui tutakuwa wangapi, kufa hatufi lakini cha moto tunakiona. Click to expand... Vumilia tu kama vumi, mtoto wa mama vumi
Sky Eclat said: Mpaka tufikie hiyo tambarare sijui tutakuwa wangapi, kufa hatufi lakini cha moto tunakiona. Click to expand... Vumilia tu kama vumi, mtoto wa mama vumi
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,785 Reaction score 21,030 Jun 25, 2016 #4 Inawezekana ikawa tambarale kweli, swali ni je tutafika? Je tunatakiwa kufika na hao ambao washafika huko? Maana unaweza jikute unapanda na kushuka tu mabonde lakini mwisho usifike.
Inawezekana ikawa tambarale kweli, swali ni je tutafika? Je tunatakiwa kufika na hao ambao washafika huko? Maana unaweza jikute unapanda na kushuka tu mabonde lakini mwisho usifike.