Mbegu za maboga kwa afya ya moyo,mifupa,nguvu za kiume

Mhdiwani

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
650
712
Zikiwa ni mbegu zenye virutubisho vya aina mbalimbali kuanzia madini hadi protini
mbegu za Maboga zinakua mio goni mwa mbegu muhimu sana binadamu kuzila,,

Zifuatazo ni faida zinazopatikana kwenye mbegu hizo
(1)Afya ya moyo,viungo vya mwili,
mbegu za Maboga zina madini mengi aina ya (magnesium) na (manganese) ambazo hufanya kazi muhimu ktk ufanisi wa viungo vya mwili pamoja na moyo,mifupa,meno,pia huimarisha mishipa ya damu,

(2)kinga ya mwili
Mbegu hizo pia zina kiasi king I cha madini ya Zinc ambayo ni muhimu mwilini ktk nyanja mbalimbali likiwemo suala la uimarishaji wa kinga ya mwili. ukuaji wa chembe hai,uondoaji wa kukosa usingizi, uimarishaji wa nuru ya macho
uimarishaji wa sukari mwilini ,,kuimarisha mishipa yote ndani ya mwili na kuondoa tatizo la nguvu za kiume na kuongeza uwezo Mara dufu,

(3)Tezi dume
kwa muda mrefu mbegu hizo zimeelezwa kua muhimu kwa afya ya mwanaume kutokana na kua na kiwango kingi cha madini ya zinc ambayo huhitajika kwa afya ya tezi,

(4) kisukari
utafiti uliofanywa unaonesha kua mbegu hizo husaidia kurekebisha kiwango cha nyongo(insulin)inayohusika na kulinda sukari mwilini kisipande au kushuka sana
hivyo kujiepusha na tatizo la kisukari,

(5) ukomo wa hedhi

Utafiti unaonyesha pia mbegu hizo huondoa kolestro mbaya mwilini pamoja na kushusha shinikizo la juu la damu,,huondoa maumivu ya kichwa,viungo vya mwili pamoja na dalili mbaya wazipatazo wanawake wenye umri mkubwa Mara baada ya kuingia kwenye ukomo wa hedhi .pia huthibiti ugonjwa wa viungo (Arthritis)

Ni dawa nzuri unaweza kuzitumia zikiwa zimekaushwa kidogo kwa kutafuna ,,
pia kama unazihitaji ni PM ninazo ambazo zipo tayari kwa matumizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom