Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,762
Pole sana mkuu. Maandishi yako machache yanaonesha kuficha mengi magumu.Aisee sisi wengine tuna wanawake pasua vichwa.
Mtu umeoa kama huko single vile.
Mbarikiwe wanaume wote mliopata wanawake wazuri.
Nibarikiwe Mara ngapi Niko na kivuruge.Amen
Nawe utabarikiwa, kuwa na imani.
AmiiinAisee sisi wengine tuna wanawake pasua vichwa.
Mtu umeoa kama huko single vile.
Mbarikiwe wanaume wote mliopata wanawake wazuri.
Kwaiyo unataka kusema ww ni parasite husband's 🤣🤣Aisee sisi wengine tuna wanawake pasua vichwa.
Mtu umeoa kama huko single vile.
Mbarikiwe wanaume wote mliopata wanawake wazuri.
Piga chini. Wanawake wazuri wapo wengi.Aisee sisi wengine tuna wanawake pasua vichwa.
Mtu umeoa kama huko single vile.
Mbarikiwe wanaume wote mliopata wanawake wazuri.
Umevurugika 🤣Nibarikiwe Mara ngapi Niko na kivuruge.
Kwa hio wewe umeoa Gorilla au sio? Yaan umeacha wanawake wote umeenda kuoa Mama la Manyani?Aisee sisi wengine tuna wanawake pasua vichwa.
Mtu umeoa kama huko single vile.
Mbarikiwe wanaume wote mliopata wanawake wazuri.
Wewe unaweza kula mahindi ya kuchoma Maisha yako yote?sijui wanatakaga nn kipya
Ulichagua mwenyewe unakuja kutulalamikia huku.Aisee sisi wengine tuna wanawake pasua vichwa.
Mtu umeoa kama huko single vile.
Mbarikiwe wanaume wote mliopata wanawake wazuri.