Mbao za Mningaha

Mparanyanga

Member
Joined
May 20, 2010
Posts
28
Reaction score
5
Habari wana JF, nahitaji mbao za mninga zilizojaa vizuri 2*8, kama mtu anazo tafadhali tuwasiliane kwa namba 0782370200.niko Dar es salaam
 
Habari wana JF, nahitaji mbao za mninga zilizojaa vizuri 2*8, kama mtu anazo tafadhali tuwasiliane kwa namba 0782370200.niko Dar es salaam

Wakuu bado tunaendelea kupokea ODA zenu! Kumbuka, hatuuzi magogo. Ni mbao zenye ukubwa(size) wa
(i) Inch 1 kwa inch 8 (1*8), urefu wa futi 10 (Mita 3)
(ii) Inch 2 kwa inch 6 (2*6), urefu wa futi 10 (Mita 3)

(iii) Inch 2 kwa inch 5 (2*5), urefu wa futi 10 (Mita 3)

(iv) Inch 1 kwa inch 5 (1*5), urefu wa futi 10 (Mita 3), n.k


Mbao ni za aina mbalimbali, kulingana na mahitaji yako!


NB: Kwa wale msiopenda usumbufu wa kusafiri hadi kufika katika ofisi yetu, wilaya ya Urambo, mkoa wa Tabora. Mnaweza kututumia barua pepe zenu (e-mail), kupitia namba zetu za simu ama barua pepe zetu;

Simu: 0784 324 102 / 0755 732 981 / 0784 667 480

Barua pepe: info@mihambos.com / sales@mihambos.com


Na tutakutumia MKATABA WA MAUZO/ MANUNUZI mara moja, ili taratibu nyinginezo ziweze kuendelea!


Karibuni sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…