mkuu naomba uweke number na bei ili tuweze linganisha kati ya hawa walanguzi wa huku mtaani na wewe nani mwenye afadhali nahitaji nyingi mkuu ukiwa serious
...ukichukulia mafinga bei ni 470,000/= kwa qubic meter kwa dar ni 570,000 kwa qubic meter, bei inaweza kubadilika kidogo kufuatia hali ya soko la siku hiyo...