Mbadala wa Noah basi Tupewe ata Baiskery

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Najua hii imekuwa nje ya mategemeo yetu kutokana na taarifa ya Riport ya mazungumzo ya madini iliyopokelewa Jana zidi ya kampuni ya Accacia And Barrick.

Mategemeo yetu kama watanzania kwamba mwisho wa Mazungumzo hayo basi kila mtanzania atapata kile kilichotangazwa siku ile ya mwanzo wa mazungumzo ya kupewa Noah zetu.

Kwa kuwa imekuwa nje ya mategemeo yetu na mazungumzo yameshusha kidau cha pesa tuliyotegemea kuipata basi si haba hata kwa hicho kidogo kilichopatikana tukanunuliwa Baiskeli za kutembelea.


Faida za baiskeli ni nyingi tofauti na Noah.
1: tutakuwa tunafanya mazoezi hivyo kuepuka magonjwa nyemelezi.

2:kuepusha foreni barabarani

3:huepusha gharama za Mara kwa Mara za matengenezo ya barabara.

4:Unafuu wa upatikanaji wa vipuli ikiwa imetokea kuaribika .

5:Hupunguza gharama za maisha Mfano.
Badala ya kupanda daladala kila siku hela hiyo unaiweka kama Akiba au kuifanyia mambo mengine ya msingi.

Kuna faida nyingi sana za baiskeli tofauti na hizo Chache nilizozitaja hapo juu.


Nafikiri tutapewa baiskeli zetu soon kama mbadala wa Noah tulizokuwa tunazisubiri.
 
Baiskery ndio zipi hizo..weka picha

au ni aina nyingine ya usafiri inayofanana na BAISKELI/BICYCLE?
 
Na endapo ikishindikana Baiskeli. Ipi itakuwa mbadala?
 
na ili joto la Dar staki wanipe NOAH yangu
 
Mkuu baiskeli gani nzuri za sh 15,000 tutakazopata! Manake zile pesa ukizigawa kwa kila mtu ndio tutapata kiasi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…