fmlyimo JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 331 Reaction score 210 Sep 15, 2017 #1 Wandugu salama? Nahitaji Mbaazi ya Arusha tu, tani 100 haraka iwezekanavyo. Nanunua kilo moja kwa shilingi 600, Dar es Salaam. 0659890000 fmlyimo@gmail.com
Wandugu salama? Nahitaji Mbaazi ya Arusha tu, tani 100 haraka iwezekanavyo. Nanunua kilo moja kwa shilingi 600, Dar es Salaam. 0659890000 fmlyimo@gmail.com
Don chul Lingula JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 363 Reaction score 276 Sep 15, 2017 #2 Hii Mbaazi ya Arusha ina TV?
Don chul Lingula JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 363 Reaction score 276 Sep 15, 2017 #3 Mbona sisi tuko manyara hutaki kuchukua au
fmlyimo JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 331 Reaction score 210 Sep 15, 2017 Thread starter #4 Don chul Lingula said: Mbona sisi tuko manyara hutaki kuchukua au Click to expand... Mteja kwa sasa amependekeza Mbaazi za Arusha tu.
Don chul Lingula said: Mbona sisi tuko manyara hutaki kuchukua au Click to expand... Mteja kwa sasa amependekeza Mbaazi za Arusha tu.
Polmo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2017 Posts 244 Reaction score 185 Sep 15, 2017 #5 Jmn mbaazi bei kamili ni ipi
fmlyimo JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 331 Reaction score 210 Sep 15, 2017 Thread starter #6 Polmo said: Jmn mbaazi bei kamili ni ipi Click to expand... Soko limeyumba sana, hakuna bei kamili, Kila mnunuzi anakuja na bei yake.
Polmo said: Jmn mbaazi bei kamili ni ipi Click to expand... Soko limeyumba sana, hakuna bei kamili, Kila mnunuzi anakuja na bei yake.
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,867 Reaction score 5,069 Sep 15, 2017 #7 Unatambuaje ni kitu cha Arusha? nikitoka Moro nikaingia nayo Arusha?
fmlyimo JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 331 Reaction score 210 Sep 15, 2017 Thread starter #8 fmlyimo said: Soko limeyumba sana, hakuna bei kamili, Kila mnunuzi anakuja na bei yake. Click to expand... Mnunuzi ni miongoni mwa wataalamu wanaoweza kujua hizo tofauti ndogo ndogo.
fmlyimo said: Soko limeyumba sana, hakuna bei kamili, Kila mnunuzi anakuja na bei yake. Click to expand... Mnunuzi ni miongoni mwa wataalamu wanaoweza kujua hizo tofauti ndogo ndogo.
Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,482 Sep 15, 2017 #9 hivi kuna wanadamu hadi leo wanakula mbaazi?faida yake nini?
fmlyimo JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 331 Reaction score 210 Sep 15, 2017 Thread starter #10 fmlyimo said: Mnunuzi ni miongoni mwa wataalamu wanaoweza kujua hizo tofauti ndogo ndogo. Click to expand... Mbaazi zina protini, wanga, mafuta pamoja na baadhi ya virutubisho vya madini kama chokaa na chuma
fmlyimo said: Mnunuzi ni miongoni mwa wataalamu wanaoweza kujua hizo tofauti ndogo ndogo. Click to expand... Mbaazi zina protini, wanga, mafuta pamoja na baadhi ya virutubisho vya madini kama chokaa na chuma
fmlyimo JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 331 Reaction score 210 Sep 15, 2017 Thread starter #11 fmlyimo said: Mnunuzi ni miongoni mwa wataalamu wanaoweza kujua hizo tofauti ndogo ndogo. Click to expand... Mbaazi zina protini, wanga, mafuta pamoja na baadhi ya virutubisho vya madini kama chokaa na chuma
fmlyimo said: Mnunuzi ni miongoni mwa wataalamu wanaoweza kujua hizo tofauti ndogo ndogo. Click to expand... Mbaazi zina protini, wanga, mafuta pamoja na baadhi ya virutubisho vya madini kama chokaa na chuma
Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,482 Sep 15, 2017 #12 si nasikia zinaongeza mashuzi hizo?
fmlyimo JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 331 Reaction score 210 Sep 15, 2017 Thread starter #13 Hute said: hivi kuna wanadamu hadi leo wanakula mbaazi?faida yake nini? Click to expand... Mbaazi zina protini, wanga, mafuta pamoja na baadhi ya virutubisho vya madini kama chokaa na chuma
Hute said: hivi kuna wanadamu hadi leo wanakula mbaazi?faida yake nini? Click to expand... Mbaazi zina protini, wanga, mafuta pamoja na baadhi ya virutubisho vya madini kama chokaa na chuma
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,419 Reaction score 21,820 Sep 15, 2017 #14 Hute said: hivi kuna wanadamu hadi leo wanakula mbaazi?faida yake nini? Click to expand... Zinatumika kutengeneza biscuts.
Hute said: hivi kuna wanadamu hadi leo wanakula mbaazi?faida yake nini? Click to expand... Zinatumika kutengeneza biscuts.