mba in finance kaka coz ina management ndan yake na inakupatia nafasi nzuri ya kuha kuwa CEO wa kampuni. Ni tofaut na msc in finance ambayo inakosa mgt which is a key to any manager
mba in finance kaka coz ina management ndan yake na inakupatia nafasi nzuri ya kuha kuwa CEO wa kampuni. Ni tofaut na msc in finance ambayo inakosa mgt which is a key to any manager
MBA program ina lengo la kuwaandaa managers hivyo utasoma disciplines nyingi bila kuingia ndani sana (e.g. human resource kidogo, marketing kodogo, accounting and finance kiasi, operations mgt kidogo, management kidogo etc) lakini Master of science (Msc) lengo lake ni kuandaa mtaalamu aliyebobea kwa katika fani husika. Hivyo kama ni finance 85% - 90% ya program itakuwa ni masomo ya finance tu na utayasoma kwa undani. So inategemea wewe lengo lako la kusoma ni lipi.