Mazoezi ya kijeshi ya pamoja kati ya Israel na mataifa ya Ghuba yaitia wasiwasi Iran

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542

USS Portland conducts flight operations in the Gulf of Aden (9 November)

CHANZO CHA PICHA,US NAVY
Mazoezi hayo ya siku tano katika bahari ya Red Sea yalishirikisha meli za kijeshi kutoka UAE , Bahrain na Marekani. Lilianza siku ya Jumatano na kushirikisha , kupanda , kusaka na mbinu za kuishika ili kuhakikisha kuna uhuru baharini.

Kikosi cha wanamaji cha Marekani kilisema kwamba mazoezi hayo yataimarisha operesheni za pamoja kati ya majeshi yanayoshiriki .

Zoezi hilo linafuatia kutiwa saini kwa makubaliano ya Abraham mwezi Septemba 2020, ambayo yalizifanya nchi za UAE na Bahrain kuimarisha uhusiano wao na Israel.

Tangu wakati huo, kumekuwa na uhusiano mzuri wa kidiplomasia, kijeshi na kijasusi kati ya Israel na mataifa hayo ya Ghuba , huku mataifa yote yakiwa na wasiwasi kuhusu vitendo vya Iran

Kiongozi wa kitengo cha ujasusi cha Israel Mossad amefanya ziara ya Bahrain na mwezi Oktoba komanda wa wanaanga wa UAE waliwasili Israel katika ziara yake ya kwanza.

OmanKatika hatua ambyao haikuweza kufikiriwa miaka mitatu iliopita , Wanamaji wa mataifa ya Kiarabu wamefanya mazoezi ya kijeshi ya kwanza na meli za kijeshi za Israel, wakiratibiwa na wanamaji wa Marekani .

CHANZO CHA PICHA,EPA
Iran, ambayo hivi majuzi ilitangaza mazoezi ya wanamaji wake mashariki katika mkondo wa hormuz , kwa nguvu inapinga uwepo wa wanamaji wa Marekani na washirika wake wa magharibi katika eneo la Ghuba.

Wakati wa shah , Iran ndio iliokuwa na jeshi kubwa la wanamaji katika eneo hilo .

Tangu mapinduzi ya Kiislamu 1979 , imekuwa ikiendelea kuyataka mataifa ya Kiarabu kuvifurusha vikosi vya Marekani , ikisema kwamba Iran ndio taifa halisia linalopaswa kuweka usalama wa mataifa ya Ghuba.

Hatahivyo pendekezo hilo halijatiliwa maanani, huku mataifa yote sita yakiendelea kushirikiana na Marekani.

Saudia, Bahrain, UAE hususan zimekuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu Iran na jeshi lake la IRGC . Zimetazama huku Iran ikikiuka vikwazo vya kimataifa kuanzisha makundi ya kijeshi katika maeneo mengi ya mashariki na kati.

Mashambulizi ya Saudia ya zaidi ya miaka sita chini Yemen yameshindwa kuwashinda waasi wanaoungwa mkono na Iran wa Houthi , huku Hezbollah nchini Lebanon ikiimarika zaidi mbali na kwamba Iran pia imejiimarisha nchini Iraq na Syria kwa kufadhili na kuwahami wanajeshi na kutuma wanajeshi wake kuusaidia utawala wa Syria wa rais Bashar al-Assad.

Iran pia imejenga silaha thabiti ya kombora la masafa marefu kushambulia eneo lolote katika mashariki ya kati, huku wanamaji wa IRGC wakiimarika zaidi kuhusu umiliki wao wa maboti ya kasi.

Israel ina wasiwasi kama uleule unoonyeshwa na mataifa ya Kiarabu na inaendelea kuwa na wasiwasi kuhusu mpango wake wa kinyuklia, baada Iran na baadaye Marekani kujiondoa katika makubaliano ya mpango huo . Israel ina wasiwasi kwamba Iran inataka kutengeneza kichwa cha bomu la kinyuklia, madai ambayo Iran Inakana.

Israel na Iran zimekuwa zikipigana vita visivyo rasmi baharini ambavyo vimesababisha mashambulizi chungu nzima dhidi ya Meli katika bahari ya Red Sea na hata ile yab ya Ghuba ya Oman.

Mwezi Julai shambulizi la ndege isio na rubani lililolaumiwa kutekelezwa na Iran lilimuua mlinzi mmoja wa Uinegereza na mfanyakazi wa Romania katika meli ya Israel pwani ya Oman. Iran imekana kuhusika.

Saudia kihistoria ni miongoni mwa mtaifa ambayo yamekuwa yakishutumu vitendo vya Iran katika mashariki ya kati , hususan tangu mwanamfalme Mohammed bin Salma Al Saudi alipokuwa waziri wa ulinzi 2015.

Lakini tarehe 14 mwezi Septemba 2019 kuna kitu kilifanyika ambacho kilibadili kabisa mipango ya ki mkakati ya Saudia mjini Riyadh.

Mapema alfajiri ndege zisizo na rubaini , zilishambulia kampuni za Mafuta katika eneo la Abqaiq na khurais, hatua ilioathiri pakubwa nusu ya Mafuta ya taifa hilo kupitia shambulio moja.

Waasi wa Houthi walidai kuhusika na shambulio hilo, lakini makombora hayo yalionekana kurushwa kutoka kaskazini , na baadaye uchunguzi ulibaini kwamba yalikuwa yamerushwa na kundi moja la wapiganaji wanaofadhiliwa na Iran kusini mwa Iraq.

Ujumbe ulikuwa wazi : Iran iwapo ingechagua , inaweza kuharibu pakubwa miundo msingi muhimu ya Saudia na washirika wake , ikiwemo mitambo mikubwa zya kuondoa chumvi katika maji ya bahari , pamoja na ile ambayo ni muhimu kwa uchumi wa taifa hilo.

Hatua ya Saudia kutaka kulipiza kisasi ilinyamazishwa na katika miezi ya hivi karibuni kumekuwa na mazungumzo kati ya maafisa wa Iran na Saudia yanayolenga kupunguza hali ya wasiwasi.

Hii haimaanishi kwamba Tehran na Riyadh wanakaribia kuwa marafiki - ,lakini kuonesha tu kwamba mataifa yote mawili yatapoteza pakubwa katika mgogoro wowote wa siku zijazo na kwamba licha ya tofauti zao ni muhimu kuweza kuishi kwa amani
 
Mazoezi ya kijeshi ya pamoja kati ya Israel na mataifa ya Ghuba yaitia wasiwasi Iran​

Saa 3 zilizopita

Iran ni extremists wa kishia, na huwa wanaamini kuna siku Mahdi wao atashuka, wataambatana naye kivita na kuiteka mecca, that means hata kwenye maisha yake yote huwa anaandaa zana za kuishambulia na kuiteka saudia ili iwe shia isiwe suni. wako very much determined na wana imani hiyo ya ajabu. saudia pamoja na mafuta na utajiri mkubwa, bila marekani na israel hana uwezo kupigana na iran, kwasababu waarabu wapenda urojo tu hawana elimu kichwani, kazi yao ni kunyonya mafuta tu ambayo hata hivyo wanagawana karibia nusu kwa nusu na mataifa ya magaidi. but still wanawaita marekani na wengine makafiri na wataendelea kumtegemea kafiri maisha yao yote kwasababu bila hivyo iran atawatoa kamasi muda wowote. na ndio maana yemen na ukanda ule ni muhimu sana kwa iran kwasababu ni raisi kuishambulia saudia kwa kutumia maeneo hayo.
 
Saudia Wana vitu vingi Sana vinamzuia kupigana Vita,kumbuka mji wao hauruhusiwi Vita ukisoma unakuta Nabii Ibrahim aliuombea duwah uwe mji wa Amani, Haparuhusiw kabisa Saudia kumwagika damu,
Hapo pameitwa masjid Haraam Kuna Mambo yameharamishwa kabisa hata kuua wadudu,
Mtume rehma na Amani ziwe juu yake aliruusiwa kupigana Vita tena masaa machache ya mchana rejea Mat'h Makka....! HUO MJI WA AMANI HATA HAO IRAN WANAJISUMBUA TU NA UMAJUSI WAO,,,,,,,,

MASIHU DAJJAL ATAKANYAGA MIJI YOOTE DUNIANI KASORO MAKKA NA MADINA......!

HUYO MAHD WAO WANAOMTAJA NI KITUKO TU,

KATIKA DALILI YA QIYAMA NI UJIO WA MAHDI DAJJAL AKIFUATANA NA NABII ISSA ALLAIHY SALAAM...!

KULINDWA NA ASIYO MUISLAM HAKUNA TATZO MKUU, KWANI HATA MIMI NAKAA NA MAJIRAN ZANGU SIYO WAISLAMU NAISHI NAO VYEMA UISLAM WANGU INATAKIWA UWE KIIGIZO KWAO
 
Sio kwa Saudi Arabia ambaye ufalme wake unafanya maovu kwa kujificha nyuma ya utakatifu wa dini.
Si hawa waliwaleta kina niki Minaj kufanya show Riyadh!?
Utakatifu wa Suudia ukowapi sasa?
 
Saudia Wana vitu vingi Sana vinamzuia kupigana Vita,kumbuka mji wao hauruhusiwi Vita ukisoma unakuta Nabii Ibrahim aliuombea duwah uwe mji wa Amani, Haparuhusiw kabisa Saudia kumwagika damu,
Hapo pameitwa masjid Haraam Kuna Mambo yameharamishwa kabisa hata kuua wadudu,
Mtume rehma na Amani ziwe juu yake aliruusiwa kupigana Vita tena masaa machache ya mchana rejea Mat'h Makka....! HUO MJI WA AMANI HATA HAO IRAN WANAJISUMBUA TU NA UMAJUSI WAO,,,,,,,,

MASIHU DAJJAL ATAKANYAGA MIJI YOOTE DUNIANI KASORO MAKKA NA MADINA......!

HUYO MAHD WAO WANAOMTAJA NI KITUKO TU,

KATIKA DALILI YA QIYAMA NI UJIO WA MAHDI DAJJAL AKIFUATANA NA NABII ISSA ALLAIHY SALAAM...!

KULINDWA NA ASIYO MUISLAM HAKUNA TATZO MKUU, KWANI HATA MIMI NAKAA NA MAJIRAN ZANGU SIYO WAISLAMU NAISHI NAO VYEMA UISLAM WANGU INATAKIWA UWE KIIGIZO KWAO
Kwamba mji wa saudia haurusiwi kumwaga damu!!kakuambia nani!?hizo ni story za misikitini huko vijijini,
Kuna madhambi kibao yanafanyika ndani ya huo mji,hata eneo lililokuwa makazi ya mtume SAW,limebadilishwa kuwa sehemu ya biashara.
 
Hata hao watawala wa Saudia wana maovu mengi tu wamefanya japo hujiita walinzi/waangalizi wa misikiti mitakatifu (Custodian of the two holy mosques).
 
Saudia Wana vitu vingi Sana vinamzuia kupigana Vita,kumbuka mji wao hauruhusiwi Vita ukisoma unakuta Nabii Ibrahim aliuombea duwah uwe mji wa Amani, Haparuhusiw kabisa Saudia kumwagika damu,
Hapo pameitwa masjid Haraam Kuna Mambo yameharamishwa kabisa hata kuua wadudu,
Mtume rehma na Amani ziwe juu yake aliruusiwa kupigana Vita tena masaa machache ya mchana rejea Mat'h Makka....! HUO MJI WA AMANI HATA HAO IRAN WANAJISUMBUA TU NA UMAJUSI WAO,,,,,,,,

MASIHU DAJJAL ATAKANYAGA MIJI YOOTE DUNIANI KASORO MAKKA NA MADINA......!

HUYO MAHD WAO WANAOMTAJA NI KITUKO TU,

KATIKA DALILI YA QIYAMA NI UJIO WA MAHDI DAJJAL AKIFUATANA NA NABII ISSA ALLAIHY SALAAM...!

KULINDWA NA ASIYO MUISLAM HAKUNA TATZO MKUU, KWANI HATA MIMI NAKAA NA MAJIRAN ZANGU SIYO WAISLAMU NAISHI NAO VYEMA UISLAM WANGU INATAKIWA UWE KIIGIZO KWAO
jinga weye watumwa weusi walimwaga damu mnooo!! Ulivo juha damu nzito unaona za naniliu wako hao???? Wanakufanyaje mpaka uwapende ivo?? ....notorious slave traders???? Wapigwe tuuu..

Waondoke
 
Back
Top Bottom