Shukrani A. Ngonyani JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 1,182 Reaction score 2,021 May 16, 2014 #1 ukizoe kuiba huachi, ukiwa mlevi ni ngumu kuacha. "ukizoea kushikwa shikwa huachi hata ukizeeka".
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 May 16, 2014 #2 Shukurani!kwani wewe umezoea kushikashika na hautakuja kuacha? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Shukrani A. Ngonyani JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 1,182 Reaction score 2,021 May 16, 2014 Thread starter #3 Shukrani A. Ngonyani said: ukizoe kuiba huachi, ukiwa mlevi ni ngumu kuacha. "ukizoea kushikwa shikwa huachi hata ukizeeka". Click to expand... ona hapa
Shukrani A. Ngonyani said: ukizoe kuiba huachi, ukiwa mlevi ni ngumu kuacha. "ukizoea kushikwa shikwa huachi hata ukizeeka". Click to expand... ona hapa
Shukrani A. Ngonyani JF-Expert Member Joined Feb 23, 2014 Posts 1,182 Reaction score 2,021 May 16, 2014 Thread starter #4 Zamaulid said: Shukurani!kwani wewe umezoea kushikashika na hautakuja kuacha? Click to expand... mi sishiki wala kushikwa, kwangu mwiko daima Zamaulid Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Zamaulid said: Shukurani!kwani wewe umezoea kushikashika na hautakuja kuacha? Click to expand... mi sishiki wala kushikwa, kwangu mwiko daima Zamaulid
Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,254 May 16, 2014 #5 Shukrani A. Ngonyani said: ukizoe kuiba huachi, ukiwa mlevi ni ngumu kuacha. "ukizoea kushikwa shikwa huachi hata ukizeeka". Click to expand... Yaah si umemuona Jaji Werema jana, alijua ni kama alivyozoea kujibu kwa zararau kila siku, jana ikamgharimu!!
Shukrani A. Ngonyani said: ukizoe kuiba huachi, ukiwa mlevi ni ngumu kuacha. "ukizoea kushikwa shikwa huachi hata ukizeeka". Click to expand... Yaah si umemuona Jaji Werema jana, alijua ni kama alivyozoea kujibu kwa zararau kila siku, jana ikamgharimu!!
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 546 May 16, 2014 #6 Je??? ukizoea kutupia post baada ya picha kwenye jukwaa la picha..itakuwaje??? Saidia hapa mtoa uziii??
Je??? ukizoea kutupia post baada ya picha kwenye jukwaa la picha..itakuwaje??? Saidia hapa mtoa uziii??
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 May 16, 2014 #7 KAJICHO KIVULI said: Je??? ukizoea kutupia post baada ya picha kwenye jukwaa la picha..itakuwaje??? Saidia hapa mtoa uziii?? Click to expand... Utapigwa Like
KAJICHO KIVULI said: Je??? ukizoea kutupia post baada ya picha kwenye jukwaa la picha..itakuwaje??? Saidia hapa mtoa uziii?? Click to expand... Utapigwa Like
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 May 16, 2014 #8 maana yake ni nini?
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 May 16, 2014 #9 Shukrani A. Ngonyani said: ukizoe kuiba huachi, ukiwa mlevi ni ngumu kuacha. "ukizoea kushikwa shikwa huachi hata ukizeeka". Click to expand... Maneno yako yana ukweli
Shukrani A. Ngonyani said: ukizoe kuiba huachi, ukiwa mlevi ni ngumu kuacha. "ukizoea kushikwa shikwa huachi hata ukizeeka". Click to expand... Maneno yako yana ukweli
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 May 16, 2014 #10 hayana maana hapa...