wanafunzi x na y wanaweza kupata madaraja sawa katika masomo yao lakini wakawa na wastani tofauti na hivyo kufanya wao kupata grade tofauti,kwa mfano mwanafunzi x amepata 50% ya kingereza na mwanafunzi y akapata 42% ya somo hilo hilo,wote wapo kwenye daraja moja la C,lakini wana alama tofauti na hivyo watatofautiana kwenye GRADE zao,mwanafunzi x na y wanaweza kuwa na madaraja sawa katika masomo yao lakini mwanafunzi x akawa na alama nyingi kuliko mwanafunzi y,thus why akapata daraja C
Kamuulize Nape, naskia nfy waziri wa elimu mtarajiwa.Kwa maana hiyo siku hizi kuna "c plain" na "c plus" na kuna "d plain" na "d plus"?
Kamuulize Nape, naskia nfy waziri wa elimu mtarajiwa.
Grade ni wastani,inategemea kapata C na D zenye maksi ngapi? Kama ni C inayokaribia B na D inayokaribia C wastani lazima uwe C ukitafuta wastani wa C,C,D,D
nahs umemjib vzurusdanganye watu c ni ile ile ata kama upate umekarbia b itahesabiw sawa na ambae imekarbia d...thats why hawa2mii maks wana2mia grades.
nahs umemjib vzur
Kwa maana hiyo siku hizi kuna "c plain" na "c plus" na kuna "d plain" na "d plus"?
Sasa kam ndo hvo kwa nini wasiweke2 alama??? Kumbe hat C zinztofautian, Hapa kweli KAZI TUMimi hayo mazingaombwe siyaoni hapa. Avarage Grade inapatikana kwa kujumlisha alama alizopata mwanafunzi ktk masomo yote na kugawanywa kwa idadi ya masomo.Mf. tufanye C inaanzia 40 mpaka 50, mwanafunzi X anaweza kuwa na C ya alama 40 na mwingine Y C ya 50. Hivyo hivyo X anaweza kuwa na D ya 30 halafu Y 39. Tukitaka kujua Av. Grade tunajumlisha alama za masomo yote gawa kwa idadi ya masomo. Hivyo basi tofauti ya alama ktk grade moja inaweza kupelekea mmoja akawa grade C na mwingine D kutegemeana kwenye masomo yote wametofautiana.
4that logic.... huon kuw ingekuwa bora zaid km wangewek kwa mfum wa wastan, na cyo grade?? mimi nijuavyo, ukishaamua ku2mia Grade ctegemei kuwa utaanza ku categorize kuwa hii ni C Kubwa, au ni C ndogo,Tuchukulie mfano huu.... C ianzie 40-49 afu D ianzie 30-39
Chukua maksi 49+48+45+39+38 gawia 5 unapata 43.8 ambayo ni C kwa wastan. afu chukua 42+43+40+33+31 gawia 5 unapata 37.8 ambayo ni D kwa wastani