Hawezi kuja kuuza gari used ya 115M hapa JF, wakati wengi tuna miliki gari chini ya 10M na wengine baiskeli,Bajaj na wengine wanamiliki miguu yao tu.!!
Hawezi kuja kuuza gari used ya 115M hapa JF, wakati wengi tuna miliki gari chini ya 10M na wengine baiskeli,Bajaj na wengine wanamiliki miguu yao tu.!!
Kama wewe umeweza kumiliki haimaanishi kua kila mtu ataweza. Kimsingi hakuna gari duniani ambayo haiwezi kutembea popote1 maana ktk dunia ya utandawazi unaweza kupata vipuri hata singapore. Ila tuzungumze ukweli...mazda ni gari ngumu kupata vipuri tena angalau ukiwa nayo dar ila kwa wamikoani aisee mazda siwashauri