Ukisoma kwa kukariri ni kweli elimu yako haiwezi kuwa na thamani kamwe! Lakini ukisoma ukaelewa unachosoma, nakuhakikishia elimu yako haitakutupa!
Tatizo lako ulijikaririsha mavitu bila kuyaelewa! Kwa hilo nakupa pole.
Kama ungeelewa ulichosoma usingehangaika! Usingehangaika na tatizo la ukosefu wa ajira maana elimu yako ingekupa ubunifu wa kubuni ajira kwa ajili yako na mamilioni ya watu wengine! Hata hivyo hujachelewa!