Swordfisher JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 233 Reaction score 37 Sep 1, 2013 #1 Nauza Mayai yenye mbegu ya Kuku Chotara kwa ajili ya kutotolesha trei 6. Bei: 12000 kwa trei. Mwenye kuyahitaji ani PM
Nauza Mayai yenye mbegu ya Kuku Chotara kwa ajili ya kutotolesha trei 6. Bei: 12000 kwa trei. Mwenye kuyahitaji ani PM
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Sep 2, 2013 #2 Ingekuwa kuku wenyewe nadhani ingekuwa safi sana ila sasa mayai........... Daaah.... Enewei, Biashara imani
Ingekuwa kuku wenyewe nadhani ingekuwa safi sana ila sasa mayai........... Daaah.... Enewei, Biashara imani
SN.BARRY JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 4,051 Reaction score 9,003 Sep 2, 2013 #3 mkuu mimi natafuta vifaranga chotara, vipi vinapatikana?? km ndio nipe na bei yake. pia vinachukua miezi mingapi hadi kuwa kuku kamili?
mkuu mimi natafuta vifaranga chotara, vipi vinapatikana?? km ndio nipe na bei yake. pia vinachukua miezi mingapi hadi kuwa kuku kamili?
Swordfisher JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 233 Reaction score 37 Sep 3, 2013 Thread starter #4 SN.BARRY said: mkuu mimi natafuta vifaranga chotara, vipi vinapatikana?? km ndio nipe na bei yake. pia vinachukua miezi mingapi hadi kuwa kuku kamili? Click to expand... Vipo vya wiki 1 vilivyochanjwa Mulex tayari. Vinauzwa kwa sh. 2500. Kuku hawa wanachukua miezi sita kufikia kuwa kuku waliokomaa.
SN.BARRY said: mkuu mimi natafuta vifaranga chotara, vipi vinapatikana?? km ndio nipe na bei yake. pia vinachukua miezi mingapi hadi kuwa kuku kamili? Click to expand... Vipo vya wiki 1 vilivyochanjwa Mulex tayari. Vinauzwa kwa sh. 2500. Kuku hawa wanachukua miezi sita kufikia kuwa kuku waliokomaa.
M mwakijule Member Joined Jul 5, 2012 Posts 29 Reaction score 5 Nov 25, 2013 #5 nahitaj hayo mayai nina machine ya incubator naishi maeneo ya buza, nichek on 0715226198