Mayai ya kienyeji tray 11,000

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
12,891
Reaction score
20,144
Nauza mayai ya kienyeji, tray ni Tsh.11,000
Mawasiliano 0764 728 440.

Napatikana Dar, Tuangoma

 
Aisee mazuri sana hebu niletee Hapa Mwembe Ngoma!
 
Sio kweli, chotara ndani kiini kimetofautiana kdg sana na mayai ya kisasa, kienyeji pure ni njano full.
 
Sio kweli mkuu, hayo mayai sio ya kienyeji otherwise wise kuku unawalisha chakula kisicho sahihi
Hayo ni ya kuku chotara (kuroiler) ndani yapo vilevile kama ya kienyeji nje tu muonekano ni tofauti pia sio makubwa kama ya wale kuku wa kisasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…