chagga boyyy
Member
- Jan 10, 2017
- 45
- 12
Pata mayai yenye uhakika wa kupata vifaranga kwa mweye uhitaj wa mayai ya kanga kwa jiliya kuangulishia na anapatikana DAR anaweza toa oda sasa mana wiki ya kwanza mwez w2 nitakua huko dar tuwasiliane mapema sasa kupitia
0717209059 whatsp pia toa oda sasa
ahahaa hao kanga uliwafanyeje wakaangua mkuu? au kanga wa dar? kanga hatotoi hivivihi mzee
Labda kawafunika na khangaahahaa hao kanga uliwafanyeje wakaangua mkuu? au kanga wa dar? kanga hatotoi hivivihi mzee
ngoja aje atueleze halafu hawa si nyara za serikali?Labda kawafunika na khanga
ok unauzaje vifaranga mkuu?ni mashine2 ila sipo dar bt kwa anaye itaj mayai naweza mletea tar7 naja dar
watu husema kanga hawatag ndan had porin ila sidhan mana mm wanataga ndani najion nawaachia na wanarud bandanahahaa hao kanga uliwafanyeje wakaangua mkuu? au kanga wa dar? kanga hatotoi hivivihi mzee
kutaga wanataga ila kuatamia ndo hawatamii ndani labda uwajengee kichaka humo ndaniwatu husema kanga hawatag ndan had porin ila sidhan mana mm wanataga ndani najion nawaachia na wanarud bandan
wala si nyara ya serikal cjawai bishiwa hata hod na mtu na wanalia balaaangoja aje atueleze halafu hawa si nyara za serikali?
Ni nyara za serikali lakini sio bara, ni kule visiwaningoja aje atueleze halafu hawa si nyara za serikali?
kweli?Ni nyara za serikali lakini sio bara, ni kule visiwani
kuna mtu aliniambia bna.wala si nyara ya serikal cjawai bishiwa hata hod na mtu na wanalia balaaa
Yah..Visiwani kanga ni extinct mkuukweli?
huwa nauza efu3 had4 akakaa wik ila kwa sasa ninaoda ndefu kwa mwez wa2 woteok unauzaje vifaranga mkuu?
ok nilidhani nchi nzima.kwanini lakini?Yah..Visiwani kanga ni extinct mkuu
umeniinspire sana mkuu .nipe ramani basi napenda kufuga sana nilishawai kufuga nikaacha kwa sasa sina eneonampango wa kuzalisha kwa wingi mwez wa3 kisha wa4 Kuangalia soko wengi wanawapenda ila kuwakuza hawawez so ngoja niwakuzie
umeniinspire sana mkuu .nipe ramani basi napenda kufuga sana nilishawai kufuga nikaacha kwa sasa sina eneo
HONGERA SANA UPO MKOA GANI?