Mayai Mayai ya kware trei moja elf 15

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
8,270
Reaction score
8,576
wakuu mambo vipi? nauza mayai ya kware trei moja elf 15 tu unaweza nicheck kwa namba 0772 001745
 
Je hiyo tray ina mayai mangapi?

Kama idadi yake ni standard 30, kwa maana hiyo unauza yai moja kwa shilingi 500, basi hiyo itakuwa biashara 'kichaa'
 
Biashara kichaa how ? Bei juu au bei rahisi sana au ni ukichaa kuuza haya mayai au ni nn?
 
Kwa jumla na reja reja
 
Elf kumi kwa trey moja au kwa vipi?
 
Je hiyo tray ina mayai mangapi?

Kama idadi yake ni standard 30, kwa maana hiyo unauza yai moja kwa shilingi 500, basi hiyo itakuwa biashara 'kichaa'

Rafiki bei ya mayai hayo ni 1,000Tsh
 
Hapana ni elf tano kwa trey moja so unaweza kwenda kununua tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…