Na hapo bado jamaa ana nguvu, speed pia ball skills za hatari huyu jamaa ndo atachukua umaarufu wa Mayele msimu huu. Halafu ki position huyu jamaa ni SS yaani Second striker kama ilivo Kwa Messi au Nkuku...
Time will tell

Nawashukuru sana nyote mliochangia mada hapo juu, nimependa mtiririko na namna mnavyosapotiana hoja bila kuingiliwa na wenye matusi wanaojificha kwenye kivuli cha hoja kinzani"
Hakika nime-enjoy sana utafikiri mahojiano fulani