Unafanya muamala wa Milioni Moja kwa mfano. Kuna makato unakatwa kama ada ya huduma. Ile hela haimfikii uliemtumia kwa tatizo la mtandao. Badae mtandao unakaa sawa Wanakurudishia Milioni Moja katika akaunti ila yale makato hawarudishi.
Hii imekaaje naona kama ni utapeli wa wazi wazi.