Kuna mshika dini kuliko mchungaji msigwa? Lakini mzigo wa hela alipopewa gafla akatupilia mbali dini huko AKAANZA KUIMBA LOWASA SAFI.chezea hela wewe.Hao kwenye dini sio ndio kila siku wanaomba hela kwenye TV na radio? Wenye dini hao ulishawaona kwenye TV au RADIO wakamaliza kuhubiri bila kuomba hela?
Atahubiri wee mwishoni utamsikia anasema naomba helaaaaaaaa!!!!