binadamu wengine wajinga watakimbilia jeshi wapate uraia,wakat wakijua kuna latino wengi sana vijana wadogo wamekufa kwenye vita mbalimbali,waliaidiwa kupata uraia,bora ukae kwenye nchi yako ujishugulishe kuliko kupelekwa iraq na afghanstan na kwenye military base kwa kuwa tu baada ya muda utapewa uraia wakat unatolewa sadaka