we tumia akili yako vizuri.. Wewe sepa hakuna future wife hapo... Kama unaona sasa akusikilizi fikiria miaka 50 ya ndoa kuishi na huyo mwanamke yatakuwaje ndoa si kuvaa shela na suti na sherehe kubwa ya kuchangiwa ... Acheni kulilia shida
inaumiza sana kutengana na mtu unaempenda ila kwanini uendelee kuumia kwa mtu ambae haoni umuhimu wako kama wewe unavyouona wa kwake kwako?ushaur wangu kama kweli unampenda mpe muda uone kama taona umuhimu wako kwake kama asipo fanya hivyo ujue kuwa hakuwa tayar kufikia malengo ulionayo kwake,kwasasa angalia maisha yako tu kama mungu amepanga uwe nae utakuwa nae ila kama si hivyo basi yupo atakae ujakuishika nafac yake
Nina mpenzi wangu tulikuwa tunapendana sana yani na anajua kabisa kuwa yeye ndo my future wife Mungu akitujaalia uzima but kaja kubadilika ghafla.
Ni kweli nlimkwaza kidogo but ni mambo za kuongea tu na kuwekana sawa lakn hataki hali yeye ashawahi kunikwaza nikamsamehe na nikasahau kabisa yani serious naumia sana maana hataki kusikia chochote kutoka kwangu.
sasa mkuu hatujui uzito wa ulichomfanyia kiasi kwamba ashindwe kukusamehe... nae ni binadam mpe mda pengine ataweza kuyayeyusha na kumeng'enya kwazo ulilompa na akusamehe
we tumia akili yako vizuri.. wewe sepa hakuna future wife hapo... kama unaona sasa akusikilizi fikiria miaka 50 ya ndoa kuishi na huyo mwanamke yatakuwaje ndoa si kuvaa shela na suti na sherehe kubwa ya kuchangiwa ... acheni kulilia shida
we ushauri wako umenigusa sana!
nimekupenda ghafla...yaani mwenyewe nna demu lina vijitabia vya kiburi na kisirani ila ulivyochangia hapa nimejifunza kitu.!