Maumivu ya kiuno

Esrom makono

Senior Member
Joined
May 11, 2019
Posts
121
Reaction score
76
Waungwana samahani nina shida sana, nasumbuliwa na maumivu ya kiuno yaani kinauma balaa. Kukaa tabu, kuinama taabu, shida hasa ni nini? Wadau mbalimbali wanadai dawa yake ni kupiga show sasa mbona hizo show hata nikipiga sioni mafanikio? Kama kuna mtu anafahamu dawa mbadala naomba anijuze kwakweli hata msaada wa mawazo pia.
 
Mkuu nahitaji umri wako, urefu na uzito wako, ndo nikushauri kitu
 
[emoji269] *SIRAAJUL MUNIYR HERBAL MEDICINE* [emoji269]
[emoji298] Tunakuketea dawa mujarabu kwa matatizo mbali mbali kama yalivyo orodheshwa hapo chini ,
[emoji298]Dawa hii si nyingine isipokua ni mizizi ya mti uitwao *MKWIZINGWI*


[emoji263]INATIBU MAGONJWA YAFUATAYO[emoji263]
[emoji117]1.Ngiri aina zote
[emoji117]2. Chango
[emoji117]3. Tumbo kuunguruma
[emoji117]4. Mgongo
[emoji117]5. Kiuno
[emoji117]6. Maumivu ya korodani
[emoji117]7. Maumivu ya tumbo

[emoji271]MATUMIZI [emoji271]
kijiko kimoja (cha unga wa mizizi ya mkwizingwi ) kwa maji moto kikombe 1×2 siku 7

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbali mbali wasiliana nami
what's app /call
+255 655 821 550
Sulayman Sangida
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…