Una umri gani mkuu?Habari za majukum wanajamvi,
Nielekee moja kwa moja kwenye mada, nimekua napatwa na maumivu makali sana ya kiuno na kwenye mishipa inayoenda kwenye korodani.
Hali hii inatokea zaid haswa baada ya tendo la ndoa. Kwa wenye ujuzi naombeni msaada wenu au kama kuna daktari mahsusi kwa kina baba kwa hapa Dar es Salaam nisaodien contact zake
DR Mambo JamboHabari za majukum wanajamvi,
Nielekee moja kwa moja kwenye mada, nimekua napatwa na maumivu makali sana ya kiuno na kwenye mishipa inayoenda kwenye korodani.
Hali hii inatokea zaidi haswa baada ya tendo la ndoa. Kwa wenye ujuzi naombeni msaada wenu au kama kuna daktari mahsusi kwa kina baba kwa hapa Dar es Salaam nisaidieni contact zake
Kaka Naomba Nileleze ninavyo fahamu mm Kama ni Dereva Hilo Ni tatizo kubwa sana maana ukiwa muendeshaji muda mrefu Hiyo Hali Hii utokea, Lingine kama mkaji sana ofisini Hilo Tatizo lazima likutoke Kuna Baadhi ya Mazoezi Hupunguza kbs hayo Maumivu Au kupona km umejua mapema ni hilo. Vinginevyo unaweza Kutemebela baadhi ya page za Matabibu Wanaweza kukusaidia Kwa kiwango ulicho kifikia ni Maoni yanguHabari za majukum wanajamvi,
Nielekee moja kwa moja kwenye mada, nimekua napatwa na maumivu makali sana ya kiuno na kwenye mishipa inayoenda kwenye korodani.
Hali hii inatokea zaidi haswa baada ya tendo la ndoa. Kwa wenye ujuzi naombeni msaada wenu au kama kuna daktari mahsusi kwa kina baba kwa hapa Dar es Salaam nisaidieni contact zake
Asante sana kwa ushauri yes ni mtumish mda mwingi ninakua nimekaa na pia kusimama vile vile, nimejaribu kurekebisha vyakula na mazoez lakin naona hali badoKaka Naomba Nileleze ninavyo fahamu mm Kama ni Dereva Hilo Ni tatizo kubwa sana maana ukiwa muendeshaji muda mrefu Hiyo Hali Hii utokea, Lingine kama mkaji sana ofisini Hilo Tatizo lazima likutoke Kuna Baadhi ya Mazoezi Hupunguza kbs hayo Maumivu Au kupona km umejua mapema ni hilo. Vinginevyo unaweza Kutemebela baadhi ya page za Matabibu Wanaweza kukusaidia Kwa kiwango ulicho kifikia ni Maoni yangu
Kwenye kusoma soma pia niliona ukosefu wa madini hayo ya zinc ni sababu ya changamoto kama hizi, nimekua nakula vyakula hivo na kutumia dawa zenye virutubisho hivo kwa wingiNakumbuka kuna member aliandika kwamba.....
Maumivu ya korodani na kiuno ni upungufu wa madini ya zinc ambayo yanapatikana kwenye vyakula kama dagaa, chainizi, na mbegu za maboga, na majani ya alfalfa ambayo mizizi yake inaenda chini ardhini miguu 20-30 na kua na hayo madini ya zinc ambayo ukitumia hayo majani kwenye chai inamaliza tatizo lako kabisa mkuu
Basi Jaribu Kwa madoctor wanao dili sana Mifupa ya kiuno pa.aoja na spinal code Ndio huleta hzio sheeda smtm kuna pingili zakwenye kiuno na mgongo huwa zina sagika huleta hayo maumiv Kaka na kupelekea korodan pia kuleta maumivu na hupelekea kupata tezi dume Kwa harka sana ngoja ni kuangalizie link Nita kutumia kakaAsante sana kwa ushauri yes ni mtumish mda mwingi ninakua nimekaa na pia kusimama vile vile, nimejaribu kurekebisha vyakula na mazoez lakin naona hali bado
Tafali siyajui tupigie kapichaNakumbuka kuna member aliandika kwamba.....