Siku hizi hakuna mahaba mahaba,
Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwishaa,
Ni neema ukiwa unahema mapenzi yanachosha yanafuja raha,
Nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa. π
Haupo Sawa kijana hata huu mwandiko unaonesha hivyo. Pole sana.
Ushauri
Muhimu ni kujivuta. Kaa mbali na huyo mtu badala ya kutafuta yanakitokea maumivu.