Achana na hizo betting nyingine.Mzee umenikumbusha mbal sana ,enzi hizo nasoma shule sec.form two,nimepewa ada na pesa ya matimizi daaah ebwaana eneee nimefika karibu na stand ya basi nakutana na wanaume wale wakutumia sabuni na viberiti.
Kihere here changu eti nitapata dabo baada ya kuona jamaa kawekaa elfu tano kapata elfu kumi kumbe ni mwenzao. Nikatoa ishirini ili nipate arobaini nikienda shule wanikome. Haaaah Mara jamaa kwa hamaki akafunua sabuni akasema dogo umeliwaaaa ,jaribu tena. Haki ya Mungu nilitamani kulia,jicho limeiva na mijamaaa imebadili sura na kuanza kuonyesha visu. Niliondoka kinyonge mno na tangu siku hiyo sitaki kabisa hii michezo,yaani sijui biko ,tatu mzuka sitaki kabisa[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Hizo pia niliwahi liwaa tena Pocket money mzee...Maeneo ya Ubungo palee!Mzee umenikumbusha mbal sana ,enzi hizo nasoma shule sec.form two,nimepewa ada na pesa ya matimizi daaah ebwaana eneee nimefika karibu na stand ya basi nakutana na wanaume wale wakutumia sabuni na viberiti.
Kihere here changu eti nitapata dabo baada ya kuona jamaa kawekaa elfu tano kapata elfu kumi kumbe ni mwenzao. Nikatoa ishirini ili nipate arobaini nikienda shule wanikome. Haaaah Mara jamaa kwa hamaki akafunua sabuni akasema dogo umeliwaaaa ,jaribu tena. Haki ya Mungu nilitamani kulia,jicho limeiva na mijamaaa imebadili sura na kuanza kuonyesha visu. Niliondoka kinyonge mno na tangu siku hiyo sitaki kabisa hii michezo,yaani sijui biko ,tatu mzuka sitaki kabisa[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Hii ni nini?Unashindwaje kula hela kama hapa kwa mfano. Wengi wanaliwa kwa ajili ya tamaa.View attachment 876141View attachment 876143
Ndio hela hzo tayari. Huoni pana odds 4 NA usheee hapo!Hii ni nini?
Hiyo inaitwa danganya toto...cha ajabu hadi watu waziwa wanadanganywa....Kihere here changu eti nitapata dabo baada ya kuona jamaa kawekaa elfu tano kapata elfu kumi kumbe ni mwenzao. Nikatoa ishirini ili nipate arobaini nikienda shule wanikome. Haaaah Mara jamaa kwa hamaki akafunua sabuni akasema dogo umeliwaaaa ,jaribu tena.[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]