sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,376
Wapumbavu wote wale hakuna hatua watachukuaMaumivu ni makali sanaa[emoji24][emoji24]
Hakuna anaeweza kujificha kwa kusema ni kawaida ya mpira, mateso hayapaswi kuwa kawaida
Ukweli ni kwamba tunapitia maumivu makali mnoo, kila mwana Simba leo anaugua kivyake
Poleni sana ndugu zangu hakuna neno la kufuta machungu yenu
Mlichokitegemea sicho mlichopata inaumiza sana, kila nikitazama macho ya Wana Simba naona uchungu na maumivu yaliyopitiliza, kiukweli mnateseka ndugu zangu [emoji24]
Tumeshapoteza, tutulie tuone tunaingiaje msimu mpya, Sio rahisi kusahau lakini tunapaswa kujisahaulisha maana ligi inaanza wiki ijayo ni muhimu zaidi kuanza vizuri
Panapovuja pameonekana tuwaachie wahusika wafanye maamuzi sahihi
Poleni[emoji120][emoji120][emoji120][emoji24][emoji24]
Ninaanza kuamini hili maana kuna mijitu huku inasema eti panapovuja pameonekana jana wakati msimu wote palionekana na kibaya jitu linaamini eti kuna watu watachukua hatua"Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu"-Ismail Aden Range
Nchi Ina vijana waongo😅😅😅😅Unaambiwa huyo Mayele Alishawahi kufunga Penati Kwa Kichwa🤣🤣🤣huyo Aziz Ki ni Iniesta Mtupu,
Unaambiwa Alishawa kufunga Goli akiwa Benchi, siyo akitokea Benchi Akiwa Benchi yaani.🤣🤣
Acha kwani lazima ushabikie ujingaNATANGAZA KUACHA USHABIKI WA MPIRA RASMI!!!!
KOLOOOOOOUto boy unapuyanga
Rahaaaa utamuuuu...... Yangaaaaaaaaa.Unaambiwa huyo Mayele Alishawahi kufunga Penati Kwa Kichwa🤣🤣🤣huyo Aziz Ki ni Iniesta Mtupu,
Unaambiwa Alishawa kufunga Goli akiwa Benchi, siyo akitokea Benchi Akiwa Benchi yaani.🤣🤣
Mmepigwa mara tatu mfululizo kwenye mechi muhimu mbili fainali moja nusu fainali.Maumivu ni makali sanaa😭😭
Hakuna anaeweza kujificha kwa kusema ni kawaida ya mpira, mateso hayapaswi kuwa kawaida
Ukweli ni kwamba tunapitia maumivu makali mnoo, kila mwana Simba leo anaugua kivyake
Poleni sana ndugu zangu hakuna neno la kufuta machungu yenu
Mlichokitegemea sicho mlichopata inaumiza sana, kila nikitazama macho ya Wana Simba naona uchungu na maumivu yaliyopitiliza, kiukweli mnateseka ndugu zangu 😭
Tumeshapoteza, tutulie tuone tunaingiaje msimu mpya, Sio rahisi kusahau lakini tunapaswa kujisahaulisha maana ligi inaanza wiki ijayo ni muhimu zaidi kuanza vizuri
Panapovuja pameonekana tuwaachie wahusika wafanye maamuzi sahihi
Poleni🙏🙏🙏😭😭
Kwani Aziz Ki keshacheza mechi ngapi dhid ya Simba na amefunga magoli mangapi hadi sasa dhidi ya Simba?Mmepigwa mara tatu mfululizo kwenye mechi muhimu mbili fainali moja nusu fainali.
Ila yote tisa kinachowauma wana Simba ni kufungwa na mchezaji (Mayele) ambaye mlijiamini hato wafunga sababu tu ya Inonga na akawapiga mbili.
Nasisitiza Oktoba mnapigwa tena kwani Aziz K,pale hajaonyesha ule obora wake hata kwa 50%,akipata moto mtatafutana.
Mechi moja na ameassist moja dhidi ya Simba na pale still bado haja gain momentum.Kwani Aziz Ki keshacheza mechi ngapi dhid ya Simba na amefunga magoli mangapi hadi sasa dhidi ya Simba?
Soma vizuriKwani Aziz Ki keshacheza mechi ngapi dhid ya Simba na amefunga magoli mangapi hadi sasa dhidi ya Simba?
umeonaa mpira anaoupigaa lakinii kijanaaaa...Nilidhani kafunga magoli hata 4 na asist 5 hivi ndo ningeona ni tishio sana ila hivi ni unazi tu huo
Kafunga goli 1 kaasist 1 ndani ya mechi 3 ni takwimu za kawaida tu hizi hazitishi kabisa
MAKOLO ni MBUMBUMBU sana, eti iliamua kuhama timu yao ya MAKOLOKOLO na kuishabikia timu ya Gold Star kisa Mayele alikosa kiatu cha dhahabu ktk dakika za majeruhi NBC PL kuisha.Mmepigwa mara tatu mfululizo kwenye mechi muhimu mbili fainali moja nusu fainali.