Maumivu hayo huwa yanamjia wakati gani na kwa siku hutokea mara ngapi...!!!!!??
na hali hiyo imeanza baada ya kuzaa au kabla.......!!!!??
Yanamtokea mara kwa mara na hutokea hasa siku za hatari-yai linapokua released from the Overy ndo yanapozidi na wakati maumivu hayo huchoma mithili ya vichomi na hali hii ilianza baada ya kuzaa
Kabla ya kutafuna hiyo Habat Mulk inatakikana apasue katikati ya hiyo Habati mulk aondowe mzizi wake uliokuwa upo katikati kisha ndio anaweza kuila au kuchemshia pamoja na maziwa ya kuchemsha lakini ina harisha ile mbaya awe karibu na choo.@EligNenda duka la dawa za kiarabu, nunua Habat mulk: MATUMIZI, chukua mbegu moja atafune pamoja na karanga mbichi.
ANGALIZO: hatakiwi kuitumia iwapo ni mjamzito.
Wana jamvi msaada wenu plz, mke wangu huhisi maumivu chini ya kitovu........ afanyeje?