Mkuu usihukumu kwanza kabla yakujua nia ya mtoa mada.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utoto unakusumbua badala ya kutafuta hela wewe unatafuta followers utadhani hao followers wanakupa shibe , Tafuta pesa folowers watakuja tu wenyewe.
Mkuu hujakosea lengo langu ndo hiloooMkuu usihukumu kwanza kabla yakujua nia ya mtoa mada.
Kwa sisi tunaofanya business online tunaelewa umuhimu wa kuwa na followers kwenye mitandao ya kijamii.
Hawa followers tunawa-convert kuwa potential buyers wa product tunauza.
Kulipia shoutout kwenye social media inaumiza bajeti ya mjasiriamali. Kwahiyo best option nikutafuta njia zakukuza hao followers kwenye page yako then unawavuta kwenye store yako.
Kama mtoa mada lengo lake ni kupata followers apate likes nyingi asifiwe na marafiki zake basi hiyo ni maneno nyingine.
Niliona niangazie hii mada kwa upande huu.
Unajiita white hat ,umeshindwa kujua hata jinsi gani followers wanalipa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utoto unakusumbua badala ya kutafuta hela wewe unatafuta followers utadhani hao followers wanakupa shibe , Tafuta pesa folowers watakuja tu wenyewe.
Mkuu elewa hatujasema tunatafuta like na comments soma Uzi vizuri na kwa sauti ili uelewe sawsNa likes, comment na folliwers ni source ya ugonjwa mwingine katika kizazi chetu, mtu anaweka picha ili apate likes na comment, umependeza, u luk cute, umetishaa, umevibe, umedash na kauli zungine! Endapo akipata chache hasa binti wanapata mfadhaiko (depression) sana
Mkuu usihukumu kwanza kabla yakujua nia ya mtoa mada.
Kwa sisi tunaofanya business online tunaelewa umuhimu wa kuwa na followers kwenye mitandao ya kijamii.
Hawa followers tunawa-convert kuwa potential buyers wa product tunauza.
Kulipia shoutout kwenye social media inaumiza bajeti ya mjasiriamali. Kwahiyo best option nikutafuta njia zakukuza hao followers kwenye page yako then unawavuta kwenye store yako.
Kama mtoa mada lengo lake ni kupata followers apate likes nyingi asifiwe na marafiki zake basi hiyo ni maneno nyingine.
Niliona niangazie hii mada kwa upande huu.
Mimi pia nafanya shughuli mbalimbali online na pia najua umuhimu wa followers ila sio kwa njia hiyo ya kufollow watu na kuwa unfollow ukadhani unakuza brandUnajiita white hat ,umeshindwa kujua hata jinsi gani followers wanalipa...
Ndio maana ya kuleta mada ili tujadili but mkuu apo ndo umenifurahisha asante kwa mchango wakomimi pia nafanya shughuli mbalimbali online na pia najua umuhimu wa followers ila sio kwa njia hiyo ya kufollow watu na kuwa unfollow ukadhani unakuza brand
ukitaka kuongeza followers na kukuza biashara inabidi upost content nzuri pia ujitangaze kwa kununua ads mbalimbali kama ads za facebook,instagram,ads za google n.k hapo content zako zitafika kwa audience wengi
lakin hiyo njia ya jamaa utapoteza muda na unaweza kuwa limited au kupigwa ban kwa kuonekana kama spam