Maujanja kwenye WhatsApp yako

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,347
Reaction score
2,754
Je una wasiwasi kuwa Kuna mtu anaweza kufuatilia kwenye Whatsapp yako bila wewe kujua ? Unahitaji kuongeza usalama zaidi kwenye Whatsapp yako.

Kuna feature inaitwa two step verification kwenye Whatsapp ni feature ambayo itakusaidia sana kuongeza ulinzi kwenye Whatsapp akaunti yako.

Ikitokea mtu anahitaji kutumia Whatsapp kwenye akaunti simu nyingine basi kuna code lazima Aziweke ndo hatumie la sivyo hatawezq kupata access ya Whatsapp yako.

Ingia setting kwenye Whatsapp yako >> Kisha Account>> Two steps verification >. Weka password unayotaka ikitokea mtu anahitaji kupata taarifa za Whatsapp yako kwenye simu nyingine lazima hawe na password yako.

Pia utaweka email kuweza ku reset password yako ikitokea umesahau password yako ili kutopoteza data Zako.

Kumbuka tu two steps verification code hii feature ni tofauti na Ile ya kupata 6 digit wakati unafanya usajili unapokea code kupitia message au kupigiwa simu.

Vipi umeshawahi kutumia hii au ndo tunakujuza tuachie maoni yako tags washikaji tujifunze sote !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…