Du! Yani nimepita hapo kwenye mkuyu nikaona taxi ikiwa ikiwa 'full light' imepaki pembeni ya barabara na mtu mmoja akiwa chini, polisi mmoja na mtu mwingine aliyevaa kiraia. Nilivyoona (huku naendesha gari) haikuwa
Du! Yani nimepita hapo kwenye mkuyu nikaona taxi ikiwa ikiwa 'full light' imepaki pembeni ya barabara na mtu mmoja akiwa chini, polisi mmoja na mtu mwingine aliyevaa kiraia. Haikuwa rahisi kutambua kama mtu alikuwa ameuawa.