lingindingi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2016
- 218
- 123
Hali ngumu ya Maisha.... Maana Wakikukuta na Chochote ni halali yaoChanzo cha mauaji nini!!!!???
Ndugu kua mkweli acha kudanganya kwa kiwango cha juu hivyo.mimi ninaishi Usagara na ninafanya kazi zangu town.ni kweli kuna matukio kama hayo unayoyasema yamezuka lakini unapotanabaisha kua ni watu 30 huu ni uongo mkubwa.kumetokea mauaji kadhaa kama matatu mpaka manne na la majuzi hapa tumelisikia mjini la mfanya biashara lakini idadi hii ya watu 30 wewe umeitoa wapi?Habari wana jamii
Nimevumilia ila nimechoka inabidi niseme kweli huku kwetu maeneo ya buhongwa ,mkolani hadi nyegezi tuna uwawa kama ndege ,ukikutwa na hawa jamaa lazima wakuuwe chaajabu awachukui hata mia yako hali hii imeanza tangu katikati ya mwezi wa kumi na mbili mwaka jana,taktibanai watu 30 wameuwa tadi leo ,polisi wao wanakuja kuchuku maiti na kupiga mkwala kisha wanaondoka !siwezi kuamini kuwa kamand wa polisi mwanza ameshindwa kuzuia hili ila hajapata kiki y msukumo wa kufanya kazi yake kiumwakini!,jamani msaada huku hayuna amani hat wakulikukuta umekwnda nawajua watu kama wanne tu ndio walionusulika huku
Poleni sana wahanga , vyombo vya dola vinahangaika na Mange KimambiHabari wana jamii
Nimevumilia ila nimechoka inabidi niseme kweli huku kwetu maeneo ya buhongwa ,mkolani hadi nyegezi tuna uwawa kama ndege ,ukikutwa na hawa jamaa lazima wakuuwe chaajabu awachukui hata mia yako hali hii imeanza tangu katikati ya mwezi wa kumi na mbili mwaka jana,taktibanai watu 30 wameuwa tadi leo ,polisi wao wanakuja kuchuku maiti na kupiga mkwala kisha wanaondoka !siwezi kuamini kuwa kamand wa polisi mwanza ameshindwa kuzuia hili ila hajapata kiki y msukumo wa kufanya kazi yake kiumwakini!,jamani msaada huku hayuna amani hat wakulikukuta umekwnda nawajua watu kama wanne tu ndio walionusulika huku
Ana lake jambo...Ndugu kua mkweli acha kudanganya kwa kiwango cha juu hivyo.mimi ninaishi Usagara na ninafanya kazi zangu town.ni kweli kuna matukio kama hayo unayoyasema yamezuka lakini unapotanabaisha kua ni watu 30 huu ni uongo mkubwa.kumetokea mauaji kadhaa kama matatu mpaka manne na la majuzi hapa tumelisikia mjini la mfanya biashara lakini idadi hii ya watu 30 wewe umeitoa wapi?