Mauaji ya mtu mweusi Marekani

EXPULSION

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
407
Reaction score
303
Polisi mzungu wa north carolina amuua kijana wa Kiafrika katika mwendelezo wa mauaji ya Black Amerika.

Naona mpango huu ni endelevu.

Black Amerika wajipanga kuandamana na sheria kali ichukuliwe kwa polisi huyo
 
Polisi mzungu wa north carolina amuua kijana wa Kiafrika katika mwendelezo wa mauaji ya Black Amerika.

Naona mpango huu ni endelevu.

Black Amerika wajipanga kuandamana na sheria kali ichukuliwe kwa polisi huyo

Sahihisha habari yako wewe.

Kwanza, tukio halijatokea North Carolina.

Na pili, tayari huyo polisi keshashitakiwa kwa kosa la mauaji.
 

Huyu Police alitoa taarifa kwamba marehemu alimnyang'anya taser gun yake.. Kama isingekuwa ushahidi wa wazi wa hii video basi haki isingetendeka..
 
Last edited by a moderator:
Ndio kina makamba hawataki watu waweze kupost ushahidi muhimu kama huu online kuhofia kuwalinda wakubwa na washenzi fulani.

Say no to proposed cyber legislation .
 
Sahihisha habari yako wewe.

Kwanza, tukio halijatokea North Carolina.

Na pili, tayari huyo polisi keshashitakiwa kwa kosa la mauaji.

kwahiyo hilo tukio limetokea singida? acha sifa za kujifanya unaijua marekani sana, hoja ni polisi mweupe kamuua raia mweusi sasa swala la mauaji yametokea wapi linabadili nini hapo? asante kwa kupoteza muda
 
Unbeliavable! Mambo mengine aibu sana kutokea kwenye nchi zinazotamba kwamba "zimeeendelea", polisi akaenda one step further kumwekea maiti teaser pembeni ili atengeneze ushahidi kumbe anarekodiwa, na isingekuwa hiyo video familia ya marehemu wangebaki kun'gaa macho tu
 
Duh ingekuwa bongo hata iyo video wangeikataa aseeh jamaa angetetewa
 
Halafu kuna Waswahili wapo Marekani nao wanaona kama vile Marekani ni yao na wanakuwa na uchungu nayo kuliko hata wazawa wenyewe. LOL! Kinachofanya wasipigwe risasi hadharani ni hiki kinachoitwa haki za binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…