TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,815
Kama unaweza kumchukua mtu fisadi kama Lowasa halafu unataka awe Rais wa nchi hiyo ni akili matope?
Mkuu kama humjui magufuli basi jipange hasa kama wewe ni fisadi kama Lowasa kazi unayo waambie na mafisadi wengine magufuli ni kiumbe mwingine kabisa.
tupangie mambo aliyofisadi, usiwe kama wale wanaosema waislamu wanakashifu wakristo lakini hawasemi wamesema nini kukashifuKama unaweza kumchukua mtu fisadi kama Lowasa halafu unataka awe Rais wa nchi hiyo ni akili matope?
Mkuu kama humjui magufuli basi jipange hasa kama wewe ni fisadi kama Lowasa kazi unayo waambie na mafisadi wengine magufuli ni kiumbe mwingine kabisa.
Mkuu kama humjui magufuli basi jipange hasa kama wewe ni fisadi kama Lowasa kazi unayo waambie na mafisadi wengine magufuli ni kiumbe mwingine kabisa.
Nashabikia UKAWA pia na napenda mabadiriko ila kwa hiyo video yako ni pumba tupo hamna hoja uliyojibu cha maana zaidi ya wewe kuongezea matakataka yako kama hao ulio wasema.
UKAWA hatupayuki na kuongea pumba hovyo hovyo namna hiyo maana hatutajitofautisha na hao maana wote tutakua pumba pia.